Njia yoyote ya kuwaondoa wamachinga barabarani ni kutuliza maumivu tu ila sio tiba

Njia yoyote ya kuwaondoa wamachinga barabarani ni kutuliza maumivu tu ila sio tiba

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kutumia nguvu kuwaondoa barabarani au kuwapanga wamachinga maeneo maalum kwa njia zozote za amani ni sawa na kutumia paracetamol au aspirin kutibu Malaria au UTI. Utatuliza maumivu kwa muda tu ila Ugonjwa utakuwa pale pale.

Umachinga uliokithiri na kuwa tegemeo la vijana ni matokeo ya uchumi dhaifu wenye kuzalisha ajira dhaifu.

Dawa pekee ya hili ni kurudi kwenye sera na uongozi thabiti unaotoa fursa ya ajira imara kwenye zenye heshima kupitia sekta muhimu kwa kwa walio wengi.

Vingenevyo kuwandoa na kurudi barabarani kwa wamachinga utakauwa kama mchezo wa paka na panya.
 
Back
Top Bottom