Njia za asili za kufanya uke kuwa mdogo

Jaribuni huo mgagani muone kama uke haujawa na matundu kama ya neti
 
Nakushauri ufungue clinic yako na utoe tiba hii kwa wateja wako,maana ndio unayejua kwa kina namna ya kuandaa,kuchanganya na kuweka dawa kwenye papuchi.
Naamini biashara yako itakuwa nzuri sana kwani wapo wengi wenye over size a.k.a ramboo!

Ni ushauri tu.


 

Mgagani ndio nini
 
Kama yako ni ndogo kaa kimya wenye kubwa na kutaka ziwe ndogo wafuate vigezo na masharti ili wafanikiwe.

Kansa wanaitafuta!
kubwa imekuaj hadi ikawa kubwa hivyo?
 
Kansa wanaitafuta!
kubwa imekuaj hadi ikawa kubwa hivyo?
Jamani kwani duniani si kuna warefu na wafupi,wembamba na wanene,weupe na weusi hali kadhalika kubwa na ndogo!
Au shosti wewe hulijui hili?
 
unatia kichefu chefu kwa mada uliyo andika na jinsi unavyoandika,hivi umesoma mpaka darasa la ngapi?ebu soma tena ulichokiandika kama kina leta maana.
 
Jamani kwani duniani si kuna warefu na wafupi,wembamba na wanene,weupe na weusi hali kadhalika kubwa na ndogo!
Au shosti wewe hulijui hili?

Najua ndo maana nasema hakuna haja ya mgagani wala ndimu ukeni!!
Mungu aliumba kila dizaini kwa makusudio yake kubwa kwako ndogo au size kwa mwenzako hakuna haja ya kujitafutia magonjwa na kumkufuru aliyekuumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…