Njia za asili za kufanya uke kuwa mdogo

unaruhusiwa lakini angalia unacho andika uandike vizuri ili kisomeke ili ki eleweke
 
Najua ndo maana nasema hakuna haja ya mgagani wala ndimu ukeni!!
Mungu aliumba kila dizaini kwa makusudio yake kubwa kwako ndogo au size kwa mwenzako hakuna haja ya kujitafutia magonjwa na kumkufuru aliyekuumba.
Ndio maana baadhi ya watu walioweusi hupenda kujichubua ili wawe weupe. Kumkufuru Mungu unajua wewe mkuu wengine hawalitambui hilo.
 
Kweli huhitaji marafiki. Ukuweka hizi vitu k yako itaoza na utanuka na marafiki watakukimbia bila wewe kuwaambia

 
kwa hiyo machine itabana kama vuile imeshikwa na mkono?
 
unaruhusiwa lakini angalia unacho andika uandike vizuri ili kisomeke ili ki eleweke

Ungekua hujaelewa usingepata cha kuandika kama unakubwa nisamehe ila tiba inayokufaa ni mgagani hiyo nyingine waachie ambao hazijatanuka sana
 
duuh kaz ipo.ila kw mgagani nikwl niliangalia video u tube watu wanafany hivo hata wazungu asee
 
Nyuke zote zilishapanuka hata wao walishajishtukia, zingekua na odometer sijui tu ingekuaje

Kwa taarifa yako aliyemuumba mwanamke ni zaidi ya kila kitu na zaidi ya ufahamu wako! Uke ni mashine ya ajabu sana na wala haihitaji hizo service zenu za kutafutia pesa ya kujikimu. Uke unajiservice, unatanuka na kusinyaa na unajitosheleza kwa kuhudumia vibamia na viguu kwa jinsi itakavyochezewa kiufundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…