Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Kumbuka huyu anahitaji kujua njia ya asili best...condom ni njia ya kisasa atii...
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka huyu anahitaji kujua njia ya asili best...condom ni njia ya kisasa atii...
Bibie Meljons Ninakufundisha DawaMziziMkavu hii njia kuhesabu tarehe naiogopa kama ugonjwa,nilikuwa mtaalamu sana lakini at the end ikaniumbua. Labda kama nitapata njia waliyotumia bibi zetu zamani
Bibie Meljons Ninakufundisha Dawa
za mababu wetu walizokuwa wanatumia na kufanya tendo la ndoa pasipo kushika mimba tumia njia hii Mbadala fanya hivi.
Nunuwa Shabu kidogo japo punje moja weka sehemu zako za siri kwenye utupu wako kila unapotaka kukutana na mume
wako kisha fanya mapenzi nae hutoshika mimba kamwe. Jaribu kisha uje unipe feedback. Na njia ingine hii ukitaka usishike
Mimba Mtafute Mdudu Mmoja anaye itwa kwa jina Popo ukisha mpata mchinje upate kichwa chake uwe unaweka kichwa chake kwenye chini ya mto wako wakulalia
hautapata mimba muda wa hicho kichwa cha popo kipo chini ya mto wako wa kulalia jaribu kutumia moja ya hizo dawa
kisha uje hapa unipe feedback.
Yaani ujana wangu woote kabla sijaoa navumilia hii mipira, halafu itokee nimeoa bado tu niendelee na hii adhabu ya mipira. NO!! SAMAHANI. Nikija kuoa sitaki habari ya kula pipi ikiwa ndani ya nailon
MziziMkavu hii njia kuhesabu tarehe naiogopa kama ugonjwa,nilikuwa mtaalamu sana lakini at the end ikaniumbua. Labda kama nitapata njia waliyotumia bibi zetu zamani
Kalenda inachanganya sn kwa Mfano...Mwanamke anatumika cku 7 kwa kila mwezi anatakiwa akae cku ngap?Na cku hizo anazokaa ni baada ya kutumika tu au.???
BAK njoo ujifunze hapa best. Ntaanza kuuza popo soon.
Uliza swali lako kwa ufasaha...
Bibie Meljons Ninakufundisha Dawa
za mababu wetu walizokuwa wanatumia na kufanya tendo la ndoa pasipo kushika mimba tumia njia hii Mbadala fanya hivi.
Nunuwa Shabu kidogo japo punje moja weka sehemu zako za siri kwenye utupu wako kila unapotaka kukutana na mume
wako kisha fanya mapenzi nae hutoshika mimba kamwe. Jaribu kisha uje unipe feedback. Na njia ingine hii ukitaka usishike
Mimba Mtafute Mdudu Mmoja anaye itwa kwa jina Popo ukisha mpata mchinje upate kichwa chake uwe unaweka kichwa chake kwenye chini ya mto wako wakulalia
hautapata mimba muda wa hicho kichwa cha popo kipo chini ya mto wako wa kulalia jaribu kutumia moja ya hizo dawa
kisha uje hapa unipe feedback.
Mkuu Kiteitei Hiyo ni Sayansi na Teknolijia ya Tiba Mbadala hakuna hapo hospitalini hawaoni ndani hapo. chanzo. MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.Mkuu mzizimkavu ujue huwa nakuaminia sana post zako!!!!!sasa popo tena.....daaaaaahhh!!!!
Mkuu Kiteitei Mke wako au Mpenzi wako wa kike hicho kichwa cha huyo Popo akikiweka chini ya mto wake wa kulalia Wazungu wako hawawezi tena kumtia mimba mpenzi wako au mke wako wanaishiwa nguvu kabisaa.Ungeniambia hicho kichwa cha popo kinatumika kumtisha m mimbishaji halafu wazungu wanakosa nguvu ningekuelewa kidooogo
Kiongozi hebu piga hii picha......uko katikati ya purukushani za kuburidishana miili....mastaili na mbwembwe kibao... geuza huku geuza kulee..miguu juu ya neti..hamadi unakutana na bichwa la popo kwenye mto!!!!hicho kimimbio kitakuwa na nguvu tena kweli!!!Mkuu Kiteitei Mke wako au Mpenzi wako wa kike hicho kichwa cha huyo Popo akikiweka chini ya mto wake wa kulalia Wazungu wako hawawezi tena kumtia mimba mpenzi wako au mke wako wanaishiwa nguvu kabisaa.
Mkuu.@Kiteite :smile-big::smile-big::smile-big: ikiwa ni mke wakoKiongozi hebu piga hii picha......uko katikati ya purukushani za kuburidishana miili....mastaili na mbwembwe kibao... geuza huku geuza kulee..miguu juu ya neti..hamadi unakutana na bichwa la popo kwenye mto!!!!hicho kimimbio kitakuwa na nguvu tena kweli!!!
Hujaelewa wap?