Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

asante mkuu!

Mwelekeze pia ndg, jamaa na rafiki yako kuwa:
Uungwana ni kutumia ujuzi katika kusaidia wengine wenye matatizo, msongo na migongano ya ndoa kwa kuwa wanandoa wamekaa kipindi kirefu bila kupata watoto - tumia dawa lishe kwa miezi miwili (2) mtafute mtalaam kwa simu +255788 628696
 
ingefaa zaidi ungetuwekea faida na hasara za hizo dawa lishe ili wale wenye kutaka kujua zaidi waweze kufahamu zaidi
maana tangazo lako halijajitosheleza kiupana zaidi ni ushauri tu huu mkuu
 
Habari wanaJF,

Nimeleta kwenu bandiko lako ili tuweze kujadili njia mbalimbali za asili za kupanga uzazi.

Tujadili...

2. Uzazi wa Mpango: Jinsi ya kutumia Majivu kuzuia mimba

3. Matumizi ya mbegu za Mnyonyo kupanga uzazi

4. Mwanaume kumwaga nje ya uke ( Pull Out Method )
Nimeipend hy asant kaka
 
Habari ndugi zangu

Naomba ushauri juu ya uzazi wa mpango ni njia gani nzuri na isiyokuwa na madhara kuna kila njia wamama wanatumia kijiti kitanzi sindano na vidonge kwa waliotumia je mmeonaje?
 
Nakushauri fata mfumo Mungu alivyoumba fata siku zakoo zinavyoend hutajutuaa hukuzaliwa kumfurahisha mwanaume tu hp utaona afya ya akili mpk mwili itakavyokuwa poa na mumeo atakupenda na ss hatukuumbwa tu kufanya ngono tu kilaa siku jamani mpaka muweke mavijiti wakati mambo yanaelewek kbs siku salam na mbovu ndio maana saiv hatuish miaka 100.
 
kuna watu ni kama jogoo wanataka kula papuchi hata kila baada ya dakika 20 loh , binadamu wengine tabu sana sijui hawana kazi za kufanya , inatakiwa unakula tunda angalau kwa mwezi mara mbili ama tatu tu sio kila saaaaa kila siiiiiku hamnaga kazi nyingine kwani?
 
Habari ndugi zangu

Naomba ushauri juu ya uzazi wa mpango ni njia gani nzuri na isiyokuwa na madhara kuna kila njia wamama wanatumia kijiti kitanzi sindano na vidonge kwa waliotumia je mmeonaje?
Ukitumia Kalenda utamlaumu mke wako buree.

Tumia vidonge hii njia naifahamu kiutendaji kwa zaidi ya miaka 3.

Mkeo mlishe chakula Cha kutosha ili kumfanya aendane kwa haraka na njia hii. Parachichi, na matunda mengine Ni muhimu sana, Chakula lishe Kama Ugali wa Dona Kama mnaweza Ni poa japo sio lazima.

Maudhi madogo hutokea Mwaka wa kwanza tu. Akiwa Mbali na wewe anaweza akasitisha kumeza na wiki moja kabla ya kukutana na wewe anaweza kuanza pakiti mpya na Mambo yakawa byee.

Kijiti usiguse Wala Sindano.
 
Habari ndugi zangu

Naomba ushauri juu ya uzazi wa mpango ni njia gani nzuri na isiyokuwa na madhara kuna kila njia wamama wanatumia kijiti kitanzi sindano na vidonge kwa waliotumia je mmeonaje?
Tumia njia ya Asili, Yaani kalenda.

Mimi nilifunga ndoa ya kikatoliki siku ya mwisho ya mafundisho ya pamoja pale msimbazi nilipewa kitabu Cha uzazi wa mpango ukikipata hicho kitabu ni Dr nyumbani kwako asa kuhusu uzazi wa mpango kwa njia ya asili.

Hayo mengine ni project ya kuzimu.
 
1. Paisha mpira(usimwagie ndani mwagia nje)

2. Fuatilia kalenda ya uzazi ujue siku gani unaweza kushika ujauzito na zipi huwezi.

3. Mwanaume asinywe chai ya majani makali siku ambayo ni zuri kushika ujauzito.

4. Acha mahusiano ya nje sababu ndio chanzo cha mimba zisizo na ratiba. Pia ukiwa unacheat unatengeneza mazingira ya mwenzako kukutaka zaidi hasa hasa siku ambazo hauna hamu yeye atakukazia na hapo ndipo chanzo kilipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom