Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
KUMBE UMEVUJISHA PM zangu nashangaa kuna mtu mwingine kanijibu sijui kajuaje KUVUJISHA PM ni kinyume cha sheria za JF itanibidi nikakushitaki kwa invisible kwa kuvujisha maongezi ya siri humu jamvini wakupige banned .NIMEKOMA.
Ndio ukome kutuma tuma pm hubby wangu kakujibu imetoshaaa nadhan, bye