Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Usiku huu ilikuwa bila bilaUsihitaji kujua kwanini hii nyuzi imeshuka asubuhi asubuhi.
Kama unazifahamu njia za kiasili ambazo siyo dawa za viagra, share hapa kwa manufaa ya wengi. Asante!
View attachment 3281393
π€£π€£π€£π€£Usiku huu ilikuwa bila bila
Wanawake siku hizi wanapenda kudinywa kama dawa ya kisukari kutwa mara tatu! Kuna mwanaume kuchoka ujueπ€£π€£π€£π€£
Pole sana mkuu,tafuta pesa tatizo litaishaUsihitaji kujua kwanini hii nyuzi imeshuka asubuhi asubuhi.
Kama unazifahamu njia za kiasili ambazo siyo dawa za viagra, share hapa kwa manufaa ya wengi. Asante!
View attachment 3281393
Umeachwa na upwiruUsihitaji kujua kwanini hii nyuzi imeshuka asubuhi asubuhi.
Kama unazifahamu njia za kiasili ambazo siyo dawa za viagra, share hapa kwa manufaa ya wengi. Asante!
View attachment 3281393
Mwanamke akikupenda,moto unaoWanawake siku hizi wanapenda kudinywa kama dawa ya kisukari kutwa mara tatu! Kuna mwanaume kuchoka ujue
Anayekupenda haina shida maana naye anashiriki kukuhamashisha! Omba usikutane na pakashume ambaye ni kulalamika tu kuwa humfikishi wakati linaficha uchepukaji wakeMwanamke akikupenda,moto unao
Mai usicheke, toa msaada basi π€£ π€£ π€£π€£π€£π€£π€£
halafu ukute aliambiwa usiku mjuba kachoka atapewa asubuhi nako hola!Usiku huu ilikuwa bila bila
Wewe unajua dawa ya lipi kati ya hayo?Inagoma kusimama au inasimama ila anatumia muda mchache? Au ndio mnalala kama wanaume watupu?
Mpwa, maelezo hayajajitosheleza, fafanua vizuri π πkwa wanaume tunatumia vitunguu swaumu, tangawizi, mdalasini mihogo, karanga, nazi, mazoezi, na pesa ya kutosha.
Yani inauma sana π€£π€£π€£π€£halafu ukute aliambiwa usiku mjuba kachoka atapewa asubuhi nako hola!