Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Mkuu hukufikishwa kilimanjaro?
Tukipenda kudinywa shida, tusipopenda shida.Wanawake siku hizi wanapenda kudinywa kama dawa ya kisukari kutwa mara tatu! Kuna mwanaume kuchoka ujue
Itakuwa usiku wa leo umeuchukia sana na siku yako leo sio blue Monday Kama sio green Monday SijuiUsihitaji kujua kwanini hii nyuzi imeshuka asubuhi asubuhi.
Kama unazifahamu njia za kiasili ambazo siyo dawa za viagra, share hapa kwa manufaa ya wengi. Asante!
View attachment 3281393
Mpwa acha utani basi, ishu serious hii 🤣Kama ikishindikana kabisa mwambie jamaa yako aende VETA wampe mafunzo.
Sasa kwenye kutongozana kwako na Madam president mimi naingiaje hapo 🤣? Yeye anataka mwanaume mwenye hela na wewe ni mbabaifu 🤣🤣🤣🤣🤣Nonsense hahaha, pesa sio tatizo? says you who kila siku mnanisumbua na Mallerina eti sina hela
Kuhusu procedure ye achanganye changanye tu hayo mazaga haina formula 🙂
Ni masikitiko, blue Monday.Itakuwa usiku wa leo umeuchukia sana na siku yako leo sio blue Monday Kama sio green Monday Sijui
Pole Sana mshangazi, hebu tusimulie nini problem, haisimami iko Kama utambi, au ni cha jogoo?Ni masikitiko, blue Monday.
Mimi naona kwa kiwango kikubwa swala la nguvu za kiume linakuzwa tu. Wanaume wengi wako sawa. Anachohitaji ni utulivu wa akili tu. Kama mwanaume anahisi mke anacheat au mwanamke anaongea sana muda wote ni kelele, kama ana stress za kazi au madeni, kama anaumwa tatizo la sukari na magonjwa mengine ya mwili hatapiga show vizuri au kutosimamisha kabisa. Lakini pia itategemea kama afya ya mwanamke iko sawa.Wewe unajua dawa ya lipi kati ya hayo?
cha jogoo ndiyo nini?Pole Sana mshangazi, hebu tusimulie nini problem, haisimami iko Kama utambi, au ni cha jogoo?
yaani tako mbili wazungu haoocha jogoo ndiyo nini?
Sikufika mkuuMkuu hukufikishwa kilimanjaro?
Afadhali [emoji1787]Haya kuhusu procedure, nimekusikia, asante!
Asubuhi yote hii 😂 ... Shikamoo
Hasira za hii kitu 👆 hazielezeki, share dawa basi 🥹yaani tako mbili wazungu haoo
Marahaba mdogo akeee, nimevurugwa 😂Asubuhi yote hii 😂 ... Shikamoo