Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Sawa ndugu nimekusikia na kukuelewa 😅Mimi namshauri chochote chenye vumbi changanya na asali ya nyuki wadogo 🤣
Muulize bimdada mwalimu Mrs@loth hemaUsihitaji kujua kwanini hii nyuzi imeshuka asubuhi asubuhi.
Kama unazifahamu njia za kiasili ambazo siyo dawa za viagra, share hapa kwa manufaa ya wengi. Asante!
View attachment 3281393
Nimeupokea ushari dada!Hakikisha unapunguza stress wewe na mwenza wako...
Hamna tatizo la nguvu za kiume...
Sawa mkuuMazoezi na Lishe baasi hakuna jingine hapo.
Kunywa maji lita 20 masaa 2 kabla ya tendo.😎😎😎Usihitaji kujua kwanini hii nyuzi imeshuka asubuhi asubuhi.
Kama unazifahamu njia za kiasili ambazo siyo dawa za viagra, share hapa kwa manufaa ya wengi. Asante!
View attachment 3281393
Nimeona mkuu, asanteee Kwa Kuni tag ngoja naleta dawa soonMkuu Dogoli kinyamkela njoo uelekeze dawa huku kuna shemeji yetu haridhishwi na performance ya mpenzi wake
Pole sana,tafuta Uzi wangu unao itwa,Mimea tiba inayo tuzunguka majumbani huu Uzi utakusaidia sana kwenye ili jambo lako🙏🏽Usihitaji kujua kwanini hii nyuzi imeshuka asubuhi asubuhi.
Kama unazifahamu njia za kiasili ambazo siyo dawa za viagra, share hapa kwa manufaa ya wengi. Asante!
View attachment 3281393
asanteNimeona mkuu, asanteee Kwa Kuni tag ngoja naleta dawa soon
Tatizo wanawake wameshatanuliwa mashimo hyo dhana ndo inafika kwani sio tangible thing lakini uoe bikra hautosikia kama hujanifikisha maana ww kama hujamchongea barabara hawezi kujua kama kuna mji mwengne so bro nina uhakika aisilimia 98% huyo mke hukumuoa bikraMkuu Dogoli kinyamkela njoo uelekeze dawa huku kuna shemeji yetu haridhishwi na performance ya mpenzi wake
Hawa wan lisaa s wakununua road ile sehemu no longer flow blood kumekuwa scars so ili urudishe mawasiliano inahitaji 60minMsijifanye wajuaji, tuna uzoefu wa kutosha na wanawake mbali mbali. Mwanamke akikupenda hata kumsika mkono anakojoa. Sasa wewe unayetaka udinywe saa nzima ndipo ukojoe, unakuwa humfeel huyo mwanaume
Nakushukuru sana sana sana Simon10 , huu ni msaada mkubwa.Hiyo shida amekuwa nayo sasa hivi au muda mrefu?,
Hana tatizo la low backpain?
Kama ni mishipa imelegea na haisimami muda mrefu, achue na mafuta ya karafuu taratibu, maana yanawasha atasikia kama mashine inawaka moto, atleast kwa dakika 2, twice a day kwa siku 7
Pia atafute pumzi kwa kuhakikisha kwa siku anatembea step 7K au 10k- ni kama K/M 5 kwa siku,
Anywe maji takribanj lita 3 kwa siku.
Apunguze kula vyakula vilivyopikwa alafu vikaa sana kwenye friji e.g. maharage, viporo vya wali.
Asubuhi kabla ya chakula cha kupika/kiwandani ale matunda
Hizo ni njia za matokeo ya kudumu na muda mrefu
ila akitaka fasta
Mchemshie juice yenye Tangawizi, vitunguu swaumu, maji,lemao sio ndimu,karafuu,mdalaasini, ili
Kadiria viungo, chemsha maji lita 1 na nusu, then yachemke na kubaki robo 3, weka asali anywe hata masaa 2 kabla ya shoo.
Njingine,
Tafuta asali ya nyuki wadogo nusu lita, uweke kwenye chombo cha plaatic au glasi changanya na tangawizi mbichi ambayo umeisaga au kutwanga, unga wa karafuu na mdalasini, weka juani sikh nzima.
baada ya hapo alambe kijiko kimoja atumie cha plastic, mbao au glass sio cha bati asubuhi na jioni siku 7.
Pia mizizi ya tulatula (ndulele) nayo ni dawa, aonye atafune yale maganda na kalanga au achemshe anywe.
Pia asubuhi anywe maji nusu lita au lita moja, maji tiririka sio ya kwenye chupa
Mtengenezee juice ya maziwa, korosho,tende,Almond,ndizi na parachichi na asali
Apunguze kula chips, vyakula vya mafuta,chees,mayonnaise
Mpe hiyo kwanza,utaleta mrejesho
Mnaandana vizuri au ndio mnaparamiana kama ng'ombe?!
Haya hongera kwa kumpambania,Nakushukuru sana sana sana Simon10 , huu ni msaada mkubwa.
Nitayafanyia kazi hasa hayo ya lishe, mazoezi, asali na hizo juice.
Majibu:
Hana low back pain, tatizo limekuwepo kwa miaka kadhaa sasa na mostly ni kufika fasta na siyo rungu kusimama!
Ndiyo tunaandaana hatuparamiani 🤣
Daaah, haya itoshe kusema, asante mtaalamu 🤣 🤣 🤣Haya hongera kwa kumpambania,
Mara moja moja badilisheni mazingira, weekend moja mnachukua hata Air BNB, itasaidia
kama anakuandaa vizuri hadi kunaloa na miguu inaaanza ku vibrate akiingiza akaguse angle hauchukui round.
Ila pia tumieni style ambazo ni rahisi wewe kufika, hasa zile ambazo wewe unakuwa umebana miguu, inasaidia kuongeza friction, awe ana balance speed ya tackling.
Mfanya ajiamini na wewe mwambie unapoguswa nyege zinaongezeka na wakati ana pump mikono ifanye kazi aache uzembe na umama😁
Unaitwaje?Kuna mmea mmoja matata Sana unapatikana huku kwetu Luhyaland.
Huu mmea mizizi yake ndo dawa ya kuongeza nguvu za kiume, yaani mashine hawezi kulala hata kidogo