Njia za kiasili za kuongeza nguvu za kiume ni zipi?

Msijifanye wajuaji, tuna uzoefu wa kutosha na wanawake mbali mbali. Mwanamke akikupenda hata kumsika mkono anakojoa. Sasa wewe unayetaka udinywe saa nzima ndipo ukojoe, unakuwa humfeel huyo mwanaume
Nyie ndiyo hua mnadanganywa vizuri, yani mngejua almost wanawake 7 kati ya 10 wameshawahi kudanganya kuhusu kukojozwa 😅. Eti ukimshika mkono tu 🤣, acha tuendelee kuwadanganya tu mje kujisifia huku mitandaoni!
 
Mimi nazijua za asili za kuongeza NGUVU ZA KIUCHUMI. Vipi naruhusiwa kuweka hapa pia. Maana ukishakuwq na nguvu za uchumi za uanaume unazipata tu otomatiki (automatically)
 
Mimi nazijua za asili za kuongeza NGUVU ZA KIUCHUMI. Vipi naruhusiwa kuweka hapa pia. Maana ukishakuwq na nguvu za uchumi za uanaume unazipata tu otomatiki (automatically)
Weka tu Bill, tutasoma na kujifunza
 
Mimi nazijua za asili za kuongeza NGUVU ZA KIUCHUMI. Vipi naruhusiwa kuweka hapa pia. Maana ukishakuwq na nguvu za uchumi za uanaume unazipata tu otomatiki (automatically)
Weka tu, au unamaanisha ampunguzie financial stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…