Njia za kuepuka Ban wana CC..

Hapana hili ni jibu ya ulichokiandika na kukiuliza ndani ya mada kuwa lile neno lilikuwa ni tusi au lah na hayo ndio yalikuwa majibu yangu!

Hiyo nayo ni njia ya kuepuka ehh!!
 
Dah!
BAN zingine bhana!!!
Busara za baadhi ya Mods wa Jf nazitilia mashaka!!
CC Bucha ya nani.
 
uliacha sentensi inaeleya juu juu mno,
ungeijaza nyama wangeelewa na pengine
usingepelekwa nyuma ya nondo.
 
Pia waepuke majukwaa mengine, coz kuna jamaa wenye gubu especially......(mentor analifahamu)
 
ban ban banii bani hiyo bani bani hiyo bani x5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…