Njia za kufanya mimba ikamate..

Njia za kufanya mimba ikamate..

HKB

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
48
Reaction score
2
Waungwana ukiachilia mbali nambo yote, ni utundu upi unaweza saidia mimba ikamate??
 
HAPANA utundu hausaidii chochote...Kitu cha pekee kinachosababisha mimba ikamate ni mkutano kati ya YAI na SHAHAWA!Na itakuwa vyema kama utatega kwenye zile siku za hatari(OVULATION) days....
 
Back
Top Bottom