Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Habar wakuu, hatimaye leo nimepata dawa yakuacha pombe, nimekunywa nmetapika sana, mnaweza nishauli kitu ?
AsantnView attachment 1356567View attachment 1356568

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni kwamba hakuna dawa ya namna hiyo. Kilichofanyika na hao watu wa mitishamba ni kukupa dawa au tu niseme wazi umelishwa majini na baada ya muda utaona unapata matatizo au magonjwa na nuksi kila kukicha. Unapaswa kunitawala na pia kuomba Mungu akusaidie kishinda vishawishi.
 
Aisee hii nondo nitaitumia imeelezwa kitaalamu sio bla bla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habar, nina ndugu yangu ni muathirika wa pombe. Amefikia hatua mbaya sana. Hawez kwenda hata kazin. Yeye akisha lewa analala popote. Naomba ushaur wenu. Maana kaenda kuombewa lakini bado tatizo liko pale pale. Ushaur wenu member jinsi ya kuweza kumtibu huyu ndugu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…