Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

ushauri wangu umekaa kiroho. Sijui imani yako? Ila kwa maelezo yako naona ni 'kitu cha pekee' huo unywaji wako.
Hivyo anza kutazama TV EMMANUEL na utajikuta tatizo limekutoka. Kuna wengi wanashuhudia jinsi walivyoondokana na kunywa pombe kupindukia na kuvuta sigara kupindukia. Kila la heri.
 
siku hizi nanywa zanzi ana G&t manake dompo zinakausha sana mdomo.

Dah aisee umeitaja Zanz umenkumbusha mbali sana hujui tu...kwanza the smelll!!!!!!! i didn't know ni famous kiivo. Problem yake haipatikani sana madukani n iko kwenye pakiti kama kiroba! they should do something about it.

upo mdogo wangu?? siku hizi hatupishani posta tena looool?

Niliambiwa uko likizo ya uzazi....
 
nimejifungua jujajua tu?? Copy Kaizer! Na aliyesema zanzi ipo kwenye viroba tu nani?? Tena chupa yake hapana chezeiya copy gfsonwin!
 
Last edited by a moderator:
siku hizi nanywa zanzi ana G&t manake dompo zinakausha sana mdomo.

nimejifungua jujajua tu?? Copy Kaizer! Na aliyesema zanzi ipo kwenye viroba tu nani?? Tena chupa yake hapana chezeiya copy gfsonwin!

Etiii???? nmepata mshtuko mara tatu...


1. Umejifungua lini wewe juzi unansalimia katumbo bado kadogo kabisa..

2. Kwanini Copy to Kaizer na sio Asprin ???

3. Sijui kama Zanzi ipo kwenye chupa kweli vile...nshazoea za viroba!!!! aaah...ntaachaga izi tabia za kwenda kunywa kwenye vibaa uchwara aisee...
 
Last edited by a moderator:

Dogo Mentor hilo swali la muhimu sana ngoja cacico aje na majibu mujarab.....
 
Last edited by a moderator:
nasikia kinyesi cha mtoto mchanga ni dawa,ulambe na chengine upake kidogo kwnye paji la uso kwa muda wa wiki moja,unaacha kabisa

Ahahahahaha....dawa thabiti kwa wakati sahihi. Dear gambe pamoja sana.
 
Ukiona dawa zote zimeshindikana chukua vidonge vitatu vya flagire mezea glas moja ya konyagi. Huta kunywa pombe milele.
 
acha ufukunyuku we Mentor, mtu akimtaja shemejie kwani kuna ubaya?
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu nisaidie, kakako sasa nimefanywa gunia la chumvi....
 
Dawa ya kuacha kunywa Pombe Pata mtu achukuwe maziwa kidogo ya mwanamke anaye nyonyesha akutilie kwenye pombe yako kisha unywe utaacha kunywa kabisa inshallah.@Chakuchambu
 
Yaani mm hii mada ndio imenipa hamu ya kwenda Bar sasa hivi! Duh
 
Wadau/wakuu wa jamvi nisaidien katika hili nataman sana kuacha pombe lakini nashindwa nifanyaje? Na je kuna dawa maalum ya kutumia ambayo inaweza nsaidia?(mi ni nywaj wa kama bia 7 na kuendelea kwa siku wakat mwingine had nazima kabisa)

YESU........................................................................................................................................YESU.

Alpha na Omega, yaani Mwanzo ni YESU na Mwisho ni YESU. Otherwise, do not even think about it!
 
Chukua maziwa ya nguruwe 250mls halafu weka kwenye glasi yenye bia unayopenda kunywa. Hiyo glasi iwe na ujazo wa bia wa 1000mls. Kunywa mchanganyiko huo kila siku jioni kabla ya kula kwa muda wa siku 14.
 
Du!ushauri mwingine kama nguvu za giza.
 
"Nani kamwaga pombe yangu,nauliza!......."

Nakupongenza kwa kubaini tatizo linalo kusibu,ni hatua nzuri na ya kwanza kuelekea 'turning point" ya kuacha ulevi.
Kuna Kauli mbili zilizo nifanya kuacha pombe miaka 13 ilyopita;
1.Magari ya abiria yatakwama na kulala njiani lakini Bia itawafikia (ni wakati wa mvua za Elinino Kampuni za Pombe zilitumia magari maalum ie Benz kuwafikishia wanywaji pombe japo magari ya abiria yalishindwa kusafiri.
2.Unasalimiwa shikamoo hata na wakubwa zako kutokana na unaonekana mzee kwa kuchakazwa na ulevi.

Zaidi ya hayo;
Utadaiwa kila kibanda na marafiki unaofanikiwa kuwadanganya na kujipatia fedha,na utauza baadhi ya vitu vyako vya thamani ili tu uweze kulipia vinywaji mara kwa mara.

Pamoja na mabo mengi ya kimahusiano kwenda hali jojo na washkaji zako,unahijajika kufanya maamuzi magumu ambayo ndiyo suluhisho kuu kwa tatizo la ulevi.
Hayo yalinifanya niichukie na niache kunywa Pombe.
Naomba kuwasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…