Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza


Alcoholism:



• Alcoholism is a psychological condition
• Addiction to alcohol can affect one's life negatively
• Family support and encouragement is critical to help quit drinking


Symptoms to look for:


• Depression
• Anxiety
• Irritability
• Regular absence from work
• Insomnia
• Frequent intoxicated state


Natural home remedy using carom seeds:


1. Take 500 g of carom seeds
2. Add them to 8 L of water
3. Boil the mixture till about 2 L water is left
4. Filter the mixture
5. Drink 3-4 tbsp whenever you get a craving for alcohol


Natural home remedy using apple juice:


1. Drink 2 glasses of apple juice everyday to reduce the craving

Kwa matatizo mengine tembelea:
Mafanikio Na Afya Njema: Suluhu Ya Tatizo La Ulevi - Home Remedies for Alcoholism
 
Sanctus Msimbe
Hiyo carom seeds ndio zipi kwa kiswahili, nataka nijaribu leo leo.
 
Mpenzi wangu c mlevi ni mnywaji na ctaki aache kunywa
 
Ili niweze kuacha itakuwa kwa ushauri wa daktari, tena anatakiwa anitishe ile mbaya. Hivi huu mda wote wa kukaa baa ntakwenda wapi? Aisee...
 
Habar jf natangulixa shukurani zangu za kipekee katika jukwaa. kwa mabibi na mabwana, Naomba msaada wenu wa hali na mali hata kama kuna dawa mnisaidie kuigundua; nina ndugu yangu anayekunywa pombe mpaka basi.Kazi amefukuzwa kisa pombe,familia kaitelekeza tunaumia ndugu zske,jana ameenda kunywa pombe hadi akalala bar leo asubuhi tumeenda kumchukua lkn hali ni ile ile anapenda pombe sijui nifanye nini.mkewe kanyaza kimya kama haoni kuwa ni tatizo.karibuni wadau
 
Pombe, pombe...hii lifestyle ya mtu na kuachana na pombe ni dhamila ya mmiliki wa tabia, kuacha lifestyle kwa dawa sio permanent solution. Dawa ya mtu huyo ni kumjenga kwa ushauri wa pande zote mbili ndg wa upande wake na ule wa mke, marafiki nao wamshauri na mke asi intertain tabia ya mme wake, achukie hali hiyo. Viongozi wa imani yake nao wamshauri na aanze kwenda kuabudu...kwa sisi wasukuma angeitwa kwenye kikao cha ukoo na kupigwa viboko zaidi ya 30 mbele ya ndugu, faini ya ng'ombe ambaye tunamla hata kabla ya viboko, na kama anaendelea anatenngwa na ukoo...chezeya wasukuma wewe...
 
wewe ni st. So naamin unaamin ktk nguvu inayozd nguvu zetu na kitu kngne chochote, wasiliana nayo utafankiwa
 

Nipe japo kwa kifupi muongozo wa namna ya kumpa ushauri kama dawaa hakuna mkuu
 
sijasema habar ya vikao mkuu. Soma tena kwa utaratbu
 
Mkewe siyo kwamba amenyamaza kimya, ila amechoka kusema naye lakini kwa vile huyo kaka yenu ni mtu mzima hana la kufanya.

Unadhani anapenda hali hiyo? Kwanza fedha zote za matumizi na nyengine zinaishia kwenye pombe.

Na nyinyi vijana wa siku hizi ndiyo munazidi kuipendezesha hiyo pombe, mara 'nani kamwaga pombe yangu', mara 'ningekuwa na uwezo ningelewa..... ' na nyengine nyingi zenye maudhui aina hiyo.

Kwa nini hamutoi nyimbo ya madhara ya pombe badala ya kuisifia?
 
Jambo la kwanza ni kuacha kunywa pombe jaribu kuchunguza chanzo kilichokufanya uanze kunywa pombe?Tafuta suluhisho kama kuna sababu zilosababisha uwe mlevi.
Dawa zipo mojawapo ni NALTREXON au ACAMPROSATE hizi dawa zinakupunguzia hitaji na abstinence symptoms za alcohol.
DISULFIRAM ni chaguo jingine.
Soma linki nimekuwekea hapo chini:
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/465792-dawa-ya-kuacha-pombe.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…