Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

Kumbe una hela nyingi hadi zingine unanywea pombe?
Hongera maana bavicha wanalia kila kona hawana hela
 
pole sana jamaa yangu.pombe inatesa sana na mimi ni muhanga,hapa nilipo na comment huku natoa lock na kili baridi.karibu toroka uje kimara hapa tupige mbili tatu huku tukijadiliana namna ya kujinasua.daah pombe jamani
emu nenda toroka uje mkajadiliane na jamaa jinsi ya kuacha huku mkipiga mbili tatu na mkuu Tobinho
 
Castle Lite baridii, mpaka raha na hivi waziongeza ukubwa wa chupa kidogo.
 
Kama upo serious ni pm kuna mzee mmoja yupo mbulu anakupa dawa unaacha kabisa. Nimemtoa dogo wangu juzi huko. Usipoacha anakurudishia pesa yako
 
usiache mkuu wanakudanganya hao
hamna raha tamu kama kulewa duniani
 
Tafuta maziwa ya kondoo halafu uutwishe mtungi, ukishapendeza,, piga robo kikombe cha chai cha maziwa ya kondoo.
 
Mpaka unatetemeka umeshakuwa mtumwa wa pombe. Ni dalili mbaya ( alcoholik[emoji481]) fanya mazoezi na tafuta kitu mbadala unaposikia hamu ya pombe. Jiepushae kukaa na group la wanywaji, kuwa busy kidogo. Pendelea kunywa vitu vitamu.
 
pole sana jamaa yangu.pombe inatesa sana na mimi ni muhanga,hapa nilipo na comment huku natoa lock na kili baridi.karibu toroka uje kimara hapa tupige mbili tatu huku tukijadiliana namna ya kujinasua.daah pombe jamani
Aisee jamaa yangu hebu nambie kama bado uko hapo nije. Hapa Zebra pub naina friji lao halipoozi vizuri.

Aliyegundua bia Mungu ambariki sana. Inanisaidia sana wakati wa shida na raha...Nashangaa mtu anataka kuiacha eti.

Tunyweni pombe kwa afya zetu za akili na kwa maendeleo ya taifa.
 
Tatizo lako linaanza na ww, ww mwenyewe usinunue kiroba hata kama una hamu kivip. Na unafanya kazi gani na saa ngapi? Hela za kununua viroba unapata wapi? Zaidi uende "rehab"
 
wenzio tunatafuta pesa zaidi na zaidi ili tusiache pombe,wew unataka uache,punguza kwa wk jitahd kupata viroba kumi kwa cku mbili
Napenda sana pombe....Pombe nayo inanipenda....Tunapendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…