Njia za kujiendeleza kwa mwalimu wa ngazi ya cheti

MAKAVU LAIVU

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
75
Reaction score
12
Mim n mwalimu wa grade A ngazi ya chet halafu sina credit tatu.Hivyo nkitaka kujua njia bora ya kujiendelaza kielimu kutafuta credit kwanza? Au kuna njia bora tofauti na hyo naomben msaada wenu kwanza.MUNGU n mwema
 
Tumia cheti chako kwakusoma koz yoyote ngaz ya diploma lakn uwe ulifanya vizur
 
ungetafuta credit then unapiga six hata kwa mwaka mmoja afu unajiongeza! ukisema utumie chet cha gredA sijui utasomea nini!
 
Mim n mwalimu wa grade A ngazi ya chet halafu sina credit tatu.Hivyo nkitaka kujua njia bora ya kujiendelaza kielimu kutafuta credit kwanza? Au kuna njia bora tofauti na hyo naomben msaada wenu kwanza.MUNGU n mwema

credit kwanza mwalimu....!

long way to go ila sio kesi jikaze utatusuaa tichaa
 
mkuu waweza kutumia cheti chako cha gatce iwapo kiko vizuri.angalau uwe na ufaulu usiochini ya credt 4.2 kidogo au uwe na dinstiction moja kwa moja. Apo utaomba kusoma diploma ukishamaliza diploma yako ukafaulu vizuri unaomba mkopo unaenda zako universty
 
hy diploama unayosema ni ipi kama ualimu hata uwe na nini huwezi soma dip ya ualimu ila dip nyingine unaweza ili usome dip ya ualimu lazima uwe na pass mark za a level
 
Mbali na kufanya foundation course ya OUT ambayo baada ya wewe kufaulu unakuwa admitted kwenye Degree noja kwa moja.

Pia unaweza soma ODPTE pale pale OUT. Nenda OPEN utafanikiwa.
 
Nenda Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima IAE pale jirani na maktaba kuu wao wanakuendeleza hadi Bachelor Degree toka ngazi ya Cheti. Nenda CHAKUA fomu ya diploma uanze shule.
 
Mim n mwalimu wa grade A ngazi ya chet halafu sina credit tatu.Hivyo nkitaka kujua njia bora ya kujiendelaza kielimu kutafuta credit kwanza? Au kuna njia bora tofauti na hyo naomben msaada wenu kwanza.MUNGU n mwema

oky nadhani institute of adult education wameshatatua tatizo lako.pitia prospectus yao hii
 
Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…