Njia za kujiendeleza kwa mwalimu wa ngazi ya cheti

Njia za kujiendeleza kwa mwalimu wa ngazi ya cheti

Pamoja na kuwa sina uhakika, OUT kupitia Foundation Course yao haiwezi kuwa njia nyingine mbadala?

OUT foundation course inasaidia sn maana ukisoma hiyo kwa mwaka mmoja ukimaliza ukapata ufaulu ambao unatakiwa kua katika wastani wa B unaweza kusoma degree yeyote lakni lazma uwe na certificate so itawasaidia waalimi wapya!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kuna vyuo vikuu vinaweza kukuchukua ukiwa na cheti cha gatce tu na ukasoma diploma ya education fuatilia usikate tamaa kuna jamaa yangu yupo na sasa anasoma degree
 
ndugu zanguni kama hakuna tofauti na kujiendeleza kama kozi zingine tofauti na kurisiti? kwakweli kulisiti yataka moyo,kumbuka familia zatungoja, ni bora kama ukiwa mwalimu wa msingi fanya biashara na ujikwamue maana sio wote waliofanikiwa wana elimu za juu,yangu ni hayo by magesa wa kweru
 
ila kuna m2 kaniambia OPEN unaweza soma diploma in primary school na ukifaulu unaweza soma degree chuo chochote vya kawaida sasa cjajua km kuna ukwel hapa kaniambia vigezo ukiwa na pass nne kweny chet chako2 grade A
 
thnx wadau kwa michango yenu bhas mm nmeona bora njiandikishe ya open inaweza kuwa sahihi kwangu

Kwa niaba ya Wadau wote, tunakutakia Masomo mema, ufanikiwe kwa manufaa yako binafsi, ya Familia yako na ya Taifa zima la Tanganyika. Ushauri wa bure: Anza sasa kujizoeza kuandika kwa ufasaha, angalau kama Mwalimu. Lugha za "thnx", "bhas", "mm", "nmeona", n.k. hazina Tija na hazitakuwa na Tija kwenye Masomo yako!
 
asanteeh mdau na hivyo n lugha ya social network
 
Back
Top Bottom