MAKAVU LAIVU
Member
- Oct 13, 2012
- 75
- 12
- Thread starter
-
- #21
Nenda Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima IAE pale jirani na maktaba kuu wao wanakuendeleza hadi Bachelor Degree toka ngazi ya Cheti. Nenda CHAKUA fomu ya diploma uanze shule.
Pamoja na kuwa sina uhakika, OUT kupitia Foundation Course yao haiwezi kuwa njia nyingine mbadala?
Unaweza fika hapo IAE wakakupa maelekezo.vigezo na sifa n zip?
Unaweza fika hapo IAE wakakupa maelekezo.
thnx wadau kwa michango yenu bhas mm nmeona bora njiandikishe ya open inaweza kuwa sahihi kwangu
Kwa niaba ya Wadau wote, tunakutakia Masomo mema, ufanikiwe kwa manufaa yako binafsi, ya Familia yako na ya Taifa zima la Tanganyika. Ushauri wa bure: Anza sasa kujizoeza kuandika kwa ufasaha, angalau kama Mwalimu. Lugha za "thnx", "bhas", "mm", "nmeona", n.k. hazina Tija na hazitakuwa na Tija kwenye Masomo yako!