Njia za kunenepa.

Njia za kunenepa.

Binafsi nishafatilia kuhusu unene mpaka nimechoka sijanenepa, nlikuwa nakula sana vitu vizuri lakini wapi!
Mjomba wangu alikuwa mwembamba sanaaa japo alikuwa na uchumi mzuri na alikuwa anapata vyote vizuri ambavyo vijana tungependa kuwa navyo lakini hakuwahi kunenepa kamwe mpaka alipoingia kwenye ndoa, sasahv ameshauriwa apunguze uzito!

Ila bado naamini ukiridhika na hali uliyonayo kimaisha na ukiweza kuzuia stress utanenepa sana!! Binafsi naamini stress zinakondesha sana
 
Hii mada inanifaa kuliko kawaida..Nimefanya jitihada zote angalau ni nenepe lkn mission failed
 
Back
Top Bottom