mr vata
JF-Expert Member
- Jan 30, 2017
- 465
- 616
Wakuu...
Katika kipindi cha makuzi yangu kuanzia naanza kujitambua mpaka kipindi cha miaka ya kuanza kubalehe hivi nilikuwa na midomo (lips) ambazo hazikua na weusi hata kidogo. Hazikua zimeokoza ile pink lakini zilikuwa na rangi nzuri tu.
Baadae sijui nini kilitokea. Kwa sasa nina lips nyeusi kama vile navuta sigara. Mara kwa mara nimekuwa nikiulizwa hili swali kwamba je, navuta sigara?
Nahitaji kuondoa huu weusi. Msaada tafadhali...