Njia za kuondoa weusi katika lips...

Njia za kuondoa weusi katika lips...

Mkuuu nimepata vitiligo na MIAKA 14...hizo pombe Wala sikua nazijua
Doctor Aliniambiaga nikubali yangu..ntazikwa nayo..hakuna DAWA for now
Aisee poleee lakini we si mweupe kiasi vitiligo haionekan sana kwakoo kama si mweupe kwann usfanye kama MJ tu
 
Dark lips mara nyingi husababishwa na Uvutaji Sigara (huvuto so sio tatizo lako), upungufu wa hydration, allergy ya dawa ya meno, na mwanga mkali wa jua,

Tiba yake,
Chukua mafuta ya nazi, mafuta ya zaituni mix uwe unapaka muda wote hasa usiku,

Unaweza kugoogle, home remedies for dark lips.
Oh asante
 
Nimeshawah kuwa muhanga wa ilo tatizo, nakushauri fata routine ifuatatyo mara kwa mara:

1. Ukiwa unapiga mswaki uwe unapitisha mswaki kwenye lips, lakin usitumie nguv kuepusha vidonda
2. Pendelea sana kula machungwa coz rangi ya lips inachangiwa sana na vit.C
3. Kama upo maeneo yenye baridi, pendelea kupaka lip balm au ata mafuta ya mgando coz lip dehydration inapelekea black lips

Fata iyo routine regularly trust me u'll see some changes, especially ya kwanza na ya pili
Ueuuii, zangu zinakuaga za pink... na hii inaweza kuwa tatizo kwani? Sometimes mtu anaweza fikiri nimepaka lipstick
 
Mkuuu nimepata vitiligo na MIAKA 14...hizo pombe Wala sikua nazijua
Doctor Aliniambiaga nikubali yangu..ntazikwa nayo..hakuna DAWA for now
Vitiligo ni nini?
 
Back
Top Bottom