Mungu anakuona mkuu[emoji23][emoji23]Tafuta pesa mzee ukiwa na pesa hizo kasoro sijui midomo myeusi kucha ukoma hakuna ambaye ataziona.
Unaulizwa hivyo kutokana na pesa huna so watu wanakuchukulia bwege mmoja tu upo upo tu ila ukiwa na uchumi hakuna pimbi atauliza masuala hayo.
Sifanyi kwa ajili yao mkuu. Mimi mwenyewe zinanikera. Uwe unasoma kuelewa sio kujibu.Tafuta pesa mzee ukiwa na pesa hizo kasoro sijui midomo myeusi kucha ukoma hakuna ambaye ataziona.
Unaulizwa hivyo kutokana na pesa huna so watu wanakuchukulia bwege mmoja tu upo upo tu ila ukiwa na uchumi hakuna pimbi atauliza masuala hayo.
Wakuu...
Mara kwa mara nimekua nikiulizwa hili swali kwamba navuta sigara. Nahitaji kuondoa huu weusi. Msaada tafadhali...
Sifanyi kwa ajili yao mkuu. Mimi mwenyewe zinanikera. Uwe unasoma kuelewa sio kujibu.
Eti kijana anashuka kutoka kwenye Range Rover lake jeusi vioo tinted rims zinameremeta kweli kuna mtu ataangalia weusi wa lips? Tena huo weusi wa lips utageuka kuwa sifa mojawapo nyegeshi sana. Pesaaaa !Siyo wewe uliyesema hapa kwamba umekuwa ukiulizwa mara kwa mara kama unavuta sigara?
Mimi nimesoma kukuelewa na nikaenda mbali zaidi hata kuwasoma fikra za hao wanaokuuliza maswali hayo ni kwamba wanakuchukulia simple....hivi mtu anaanzaje kuniuliza habari za lips zangu ategemee jibu?najiuliza kwanza anaanzaje?
Nakusisitiza tafuta pesa hayo maswali hatakuwepo mtu wa kukuuliza nature ya binadamu maskini ni kuuliza vijiswali vya ajabu ajabu ili akupime uwezo wako wa fikra epuka hilo kwa kuonekana tofauti nao.
Kwa hiyo nikiwa na pesa hizo unazoshauri wewe mimi mwenyewe nitaanza kuvutiwa na huu weusi sio?Eti kijana anashuka kutoka kwenye Range Rover lake jeusi vioo tinted rims zinameremeta kweli kuna mtu ataangalia weusi wa lips? Tena huo weusi wa lips utageuka kuwa sifa mojawapo nyegeshi sana. Pesaaaa !!!
Asante mkuuNimeshawah kuwa muhanga wa ilo tatizo, nakushauri fata routine ifuatatyo mara kwa mara:
1. Ukiwa unapiga mswaki uwe unapitisha mswaki kwenye lips, lakin usitumie nguv kuepusha vidonda
2. Pendelea sana kula machungwa coz rangi ya lips inachangiwa sana na vit.C
3. Kama upo maeneo yenye baridi, pendelea kupaka lip balm au ata mafuta ya mgando coz lip dehydration inapelekea black lips
Fata iyo routine regularly trust me u'll see some changes, especially ya kwanza na ya pili
[emoji1787][emoji1787]Mimi ni moja ya watu wenye lips nyeusi but siku hizi nishazoea wakiniuliza vipi unavuta bangi nawambia na kukaba pia. NaKaba
Zangu...nyekundu Mkuu...Zina vitiligo [emoji3][emoji3][emoji3]Zako zikoje bi dada? Kuona ni kuamini
🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo nikiwa na pesa hizo unazoshauri wewe mimi mwenyewe nitaanza kuvutiwa na huu weusi sio?
Kwamba sipendi weusi wa lips zangu kwa sababu sina hela.