financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Mkuu lips nyeupe zikoje? Mimi ni mweusi ndio. Lakini mbona hushangai kuona mtu mweusi nyayo zake au sehemu za viganja sio vyeusi?Kwani wewe ni rangi gani ? Mweupe ama mweusi? Isijekua ni mweusi afu unataka kuwa na lips nyeupe[emoji848]
Afu kwanini unahisi ni shida hivo hadi utafutie ufumbuzi? Ukiulizwa unavuta na unajijua huvuti nini shida? Mwishowe utashauriwa chemicals bure.
Kwahiyo kosa hapo liko wapi? Kukuuliza rangi yako? Umeleta uzi ili ushauriwe kama unahisi ushauri tuliotoa haukufai ungechukua unaokufaa acha jeuri! Ila ningekua ni mimi tena mkaka nisingebother na vitu vidogo kama rangi ya lips kha😀 Ila nakushauri tumia Carolight ndiyo kiboko ya lips nyeusi! Utakua na lips denda amazing😬😬Mkuu lips nyeupe zikoje? Mimi ni mweusi ndio. Lakini mbona hushangai kuona mtu mweusi nyayo zake au sehemu za viganja sio vyeusi?
Kama ukisoma ili uelewe utakua unapata faida sana. Badala yake unasoma ili ujibu. Hata hivyo nashukuru kwa wino wako juu ya hii karatasi.
Mimi na wewe tu sawa 😊Zangu...nyekundu Mkuu...Zina vitiligo [emoji3][emoji3][emoji3]
Yaan ujikubali hata kama unaona ni tatizo? Mfano macho yako mwanzo yalikua yanaona vzr baadae ukaanza kuhisi kuna ukungu mbele ya macho yako je unatakiwa utafute ufumbuzi au ujikubali?Baada ya kufanya yote unayoshauriwa na Wakuu usisahau kujikubali kwani hiyo ndo dawa pekee itakayokufanya uishi maisha yako bila woga na hofu yeyote.
Huna kosa ila nami nimeuliza kuna lips nyeupe?Kwahiyo kosa hapo liko wapi? Kukuuliza rangi yako? Umeleta uzi ili ushauriwe kama unahisi ushauri tuliotoa haukufai ungechukua unaokufaa acha jeuri! Ila ningekua ni mimi tena mkaka nisingebother na vitu vidogo kama rangi ya lips kha[emoji3] Ila nakushauri tumia Carolight ndiyo kiboko ya lips nyeusi! Utakua na lips denda amazing[emoji51][emoji51]
Yaan nipake nini kwenye lips wewe?[emoji23][emoji23]Kwahiyo kosa hapo liko wapi? Kukuuliza rangi yako? Umeleta uzi ili ushauriwe kama unahisi ushauri tuliotoa haukufai ungechukua unaokufaa acha jeuri! Ila ningekua ni mimi tena mkaka nisingebother na vitu vidogo kama rangi ya lips kha[emoji3] Ila nakushauri tumia Carolight ndiyo kiboko ya lips nyeusi! Utakua na lips denda amazing[emoji51][emoji51]
Concetration itakuwa kwenye matumizi ya pesa zake zadi sio ufupi wala urefu🤣Tafuta pesa mzee ukiwa na pesa hizo kasoro sijui midomo myeusi kucha ukoma hakuna ambaye ataziona.
Unaulizwa hivyo kutokana na pesa huna so watu wanakuchukulia bwege mmoja tu upo upo tu ila ukiwa na uchumi hakuna pimbi atauliza masuala hayo.
Na sikuogopi mkuu!😀na usinitishe kuniita mtoto nna watoto wakubwa kukuzidi😛Yaan nipake nini kwenye lips wewe?[emoji23][emoji23]
Wewe mtoto nina adhabu yako maalumu, jitahidi unitafute ili uipate mubashara
Anza kuvuta sigara tu mkuu, just kidingWakuu...
Katika kipindi cha makuzi yangu kuanzia naanza kujitambua mpaka kipindi cha miaka ya kuanza kubalehe hivi nilikuwa na midomo (lips) ambazo hazikua na weusi hata kidogo. Hazikua zimeokoza ile pink lakini zilikuwa na rangi nzuri tu.
Baadae sijui nini kilitokea. Kwa sasa nina lips nyeusi kama vile navuta sigara. Mara kwa mara nimekuwa nikiulizwa hili swali kwamba je, navuta sigara?
Nahitaji kuondoa huu weusi. Msaada tafadhali...
Acha hizo mkuu kwani wanavosema flani ni mweupe unataka awe na rangi kama karatasi nyeupe?! Weupe wa karatasi ni tafauti na rangi ya binadamu japo ni mweupe pia! Hivo viganja vyako vina rangi gani kama si nyeupe. Kwani unataka hadi uende Tuition ili kujua hilo aargh mbona ni mgumu sana kuelewa wewe mitihani ulifauluje mkuu?Huna kosa ila nami nimeuliza kuna lips nyeupe?
Hivi unajua wewe ni mbishi sana? Mtu akiwa mweupe hawi kama karatasi sawa lkn ndio tumezoea hivyo kusema kuwa fulani ni mweupe. Lakini kwetu sisi hatujazoea kusema mtu ana kips nyeupe, sijawahi sikia hii.Acha hizo mkuu kwani wanavosema flani ni mweupe unataka awe na rangi kama karatasi nyeupe?! Weupe wa karatasi ni tafauti na rangi ya binadamu japo ni mweupe pia! Hivo viganja vyako vina rangi gani kama si nyeupe. Kwani unataka hadi uende Tuition ili kujua hilo aargh mbona ni mgumu sana kuelewa wewe mitihani ulifauluje mkuu?
Pole sana. Je lips ni nyeusi zote juu na chini au ni chini tu? Au pia ni i kwa maeneo baadhi kwenye lips? Wakati ukiendelea kutekeleza ushauri uliopewa hapa nami nitakushauri aende hospital uombe wakupimr vipimo vya hormones ikiwemo Thyroid function. Mfano ukiwa na untreated under active thyroid ( failure to produce enough tyroid hirmone) kitaalam Hypothyroidism huwa inasababisha hizo colour change or pigmentation. Pia kuna Stress Hirmone inayozalishwa na Adrenal glands inaitwa Cortisol kama pia haizalishwi vya kutosha inasababisha skin pigmentation kwenye lips na pia hata rangi yako kama ulikuwa light unaanzakuwa dark.Wakuu...
Katika kipindi cha makuzi yangu kuanzia naanza kujitambua mpaka kipindi cha miaka ya kuanza kubalehe hivi nilikuwa na midomo (lips) ambazo hazikua na weusi hata kidogo. Hazikua zimeokoza ile pink lakini zilikuwa na rangi nzuri tu.
Baadae sijui nini kilitokea. Kwa sasa nina lips nyeusi kama vile navuta sigara. Mara kwa mara nimekuwa nikiulizwa hili swali kwamba je, navuta sigara?
Nahitaji kuondoa huu weusi. Msaada tafadhali...
Asante sana mkuu. Umenena vyema. Mimi nafahamu ya kuwa kila badiliko linalotokea kwenye mwili lina sababu na lina maelezo kitaalamu. Kwamba huwa linasababishwa na nini na kwa jinsi gani linaweza kupatiwa ufumbuzi.Pole sana. Je lips ni nyeusi zote juu na chini au ni chini tu? Au pia ni i kwa maeneo baadhi kwenye lips? Wakati ukiendelea kutekeleza ushauri uliopewa hapa nami nitakushauri aende hospital uombe wakupimr vipimo vya hormones ikiwemo Thyroid function. Mfano ukiwa na untreated under active thyroid ( failure to produce enough tyroid hirmone) kitaalam Hypothyroidism huwa inasababisha hizo colour change or pigmentation. Pia kuna Stress Hirmone inayozalishwa na Adrenal glands inaitwa Cortisol kama pia haizalishwi vya kutosha inasababisha skin pigmentation kwenye lips na pia hata rangi yako kama ulikuwa light unaanzakuwa dark.
Hivyo basi nenda hospital kubwa fanya vipimo huku ukiendelea kula vyakula reach in vitamins zote tu hasa vitamin C na B complex.
Pole sana.
Ushauri uliotoa unaakisi kipato chako mkuu kwamba wewe ni middle class. Bado haujajua vyema thamani ya pesa na matumizi yake kiusahihi. Pia haujajua mabadiliko ya kitabia pale namba ya acc yako inapozidi kukua.Siyo wewe uliyesema hapa kwamba umekuwa ukiulizwa mara kwa mara kama unavuta sigara?
Mimi nimesoma kukuelewa na nikaenda mbali zaidi hata kuwasoma fikra za hao wanaokuuliza maswali hayo ni kwamba wanakuchukulia simple....hivi mtu anaanzaje kuniuliza habari za lips zangu ategemee jibu?najiuliza kwanza anaanzaje?
Nakusisitiza tafuta pesa hayo maswali hatakuwepo mtu wa kukuuliza nature ya binadamu maskini ni kuuliza vijiswali vya ajabu ajabu ili akupime uwezo wako wa fikra epuka hilo kwa kuonekana tofauti nao.
Mkuu wewe ndiyo mbishi unazijua Lips za Pink wewe? Sijawahi sikia hiyo rangi pia iwe imekoza ama imekoleza hamna lips za hivo bana. Na unavosema lips nyeusi are you sure ni nyeusi kama hiyo rangi? Jifunze kutumia rangi kulingana na mazingira/kitu/mtu husika acha ubishi. Si nyeupe kama karatasi ila ni nyeupe kwa rangi ya binadamu ova.💪Hivi unajua wewe ni mbishi sana? Mtu akiwa mweupe hawi kama karatasi sawa lkn ndio tumezoea hivyo kusema kuwa fulani ni mweupe. Lakini kwetu sisi hatujazoea kusema mtu ana kips nyeupe, sijawahi sikia hii.
Lkn pia mtu hata akiwa mweupe huwezi fananisha rangi ya ngozi yake ya either mkono au shavu na rangi lips. Lips mara nyingi huwa zinakua na pink fulani ambayo haijakoza. Punguza ubishi.