Njia za kuondoa weusi katika lips...

Lips za pink mpauko zipo mrembo.
 
Lakini unatakiwa kufahamu ya kwamba macho ya mwanaume yanaona rangi chache kuliko ya mwanamke.
Kwa hiyo ktk suala la kuzitaja hizo rangi kwa usahihi utanipa muongozo.
 
Lakini unatakiwa kufahamu ya kwamba macho ya mwanaume yanaona rangi chache kuliko ya mwanamke.
Kwa hiyo ktk suala la kuzitaja hizo rangi kwa usahihi utanipa muongozo.
Wewe nimekupa muongozo wa lips nyeupe umenibishia hadi kesho aisee! Muongozo gani utakubali sasa😏
 
Sasa tuelew nn kwa mfano akiwa na midom rangi nyekundu wanesm. Unatumia pombe kali au HIV akiwa na black inaonekan an afya ikizid wanasema. Bangi mkuu fanya yak ya binadam. Sisi hatuwez kutimiz yote bali tunajitahid hvy tafuta hela basss
 
Piga kitu cha Mara, lips zitakuwa vizuri changamka
 
Pole. Vitiligo ina dawa mkuu. Lakini iwe vitiligo kweli na sio athari za pombe kali.
Mkuuu nimepata vitiligo na MIAKA 14...hizo pombe Wala sikua nazijua
Doctor Aliniambiaga nikubali yangu..ntazikwa nayo..hakuna DAWA for now
 
Dark lips mara nyingi husababishwa na Uvutaji Sigara (huvuto so sio tatizo lako), upungufu wa hydration, allergy ya dawa ya meno, na mwanga mkali wa jua,

Tiba yake,
Chukua mafuta ya nazi, mafuta ya zaituni mix uwe unapaka muda wote hasa usiku,

Unaweza kugoogle, home remedies for dark lips.
 
Kwa hiyo nikiwa na pesa hizo unazoshauri wewe mimi mwenyewe nitaanza kuvutiwa na huu weusi sio?

Kwamba sipendi weusi wa lips zangu kwa sababu sina hela.
Jibu Hilo, Ukiwa na Pesa hata Huo Muda wa Kujitazama Kwenye Kioo Unautoa Wapi Sasa
 
Hahahaha acha kutumia vilevi vikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…