spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Aisee poleee lakini we si mweupe kiasi vitiligo haionekan sana kwakoo kama si mweupe kwann usfanye kama MJ tuMkuuu nimepata vitiligo na MIAKA 14...hizo pombe Wala sikua nazijua
Doctor Aliniambiaga nikubali yangu..ntazikwa nayo..hakuna DAWA for now
Oh asanteDark lips mara nyingi husababishwa na Uvutaji Sigara (huvuto so sio tatizo lako), upungufu wa hydration, allergy ya dawa ya meno, na mwanga mkali wa jua,
Tiba yake,
Chukua mafuta ya nazi, mafuta ya zaituni mix uwe unapaka muda wote hasa usiku,
Unaweza kugoogle, home remedies for dark lips.
Ueuuii, zangu zinakuaga za pink... na hii inaweza kuwa tatizo kwani? Sometimes mtu anaweza fikiri nimepaka lipstickNimeshawah kuwa muhanga wa ilo tatizo, nakushauri fata routine ifuatatyo mara kwa mara:
1. Ukiwa unapiga mswaki uwe unapitisha mswaki kwenye lips, lakin usitumie nguv kuepusha vidonda
2. Pendelea sana kula machungwa coz rangi ya lips inachangiwa sana na vit.C
3. Kama upo maeneo yenye baridi, pendelea kupaka lip balm au ata mafuta ya mgando coz lip dehydration inapelekea black lips
Fata iyo routine regularly trust me u'll see some changes, especially ya kwanza na ya pili
[emoji38]Mimi ni moja ya watu wenye lips nyeusi but siku hizi nishazoea wakiniuliza vipi unavuta bangi nawambia na kukaba pia. NaKaba
Vitiligo ni nini?Mkuuu nimepata vitiligo na MIAKA 14...hizo pombe Wala sikua nazijua
Doctor Aliniambiaga nikubali yangu..ntazikwa nayo..hakuna DAWA for now
Ugonjwa wa ngozi ambapo ngozi inapoteza rangi yake na kuweka madoamadoa ulimpataga king MJ piaVitiligo ni nini?