wengune uanza kwa kuajiriwa. wengine hukopaKituuu gani hasaaa kina sababisha mtu kuwa mjasilia Mali ingali mwanzo hana kipato
1. Wazia sana unakoelekea ..Kituuu gani hasaaa kina sababisha mtu kuwa mjasilia Mali ingali mwanzo hana kipato
Mfano mzuri ni kampuni ya maxi-malipo. Waliona changamoto ya watu kwenda kununua luku na kulipa bill za maji wakatengeneza utaratibu wa kulipa kupitia mitandao ya simu na kompyuta na wamefanikiwa kupata biasharaUneweza kubadili kivipi changamoto kuwa shughuri ya kuingiza kipato?
wewe umepata ngapi kupitia hiyo link?Njia nyingine hii hapa jaribu
Youthnize.com Earn 10$ per 10 seconds tasks, Earn 2000$ monthly - Online Job
Kama unaishi sehemu ambapo usafiri ni shida ... anzisha usafiri ...Uneweza kubadili kivipi changamoto kuwa shughuri ya kuingiza kipato?