Njia za kupata capital

Njia za kupata capital

saviola

Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
7
Reaction score
7
Kituuu gani hasaaa kina sababisha mtu kuwa mjasilia Mali ingali mwanzo hana kipato
 
Kituuu gani hasaaa kina sababisha mtu kuwa mjasilia Mali ingali mwanzo hana kipato
1. Wazia sana unakoelekea ..
2. Tafakari changamoto zilizozunguka jamii unayoishi
3. Badili changamoto hizo ziwe shughuli ya kukuingizia kipato.
 
Uneweza kubadili kivipi changamoto kuwa shughuri ya kuingiza kipato?
 
Enzi hizo mwaliwa wa economy alisema asilimia 90 ya kufanikiwa kwenye biashara yoyote ni kuwa na wazo bora. Ukipata wazo la biashara nirahisi kupata mtaji kuliko kuwa na mtaji halafu ndo utafute wazo la biashara
 
Uneweza kubadili kivipi changamoto kuwa shughuri ya kuingiza kipato?
Mfano mzuri ni kampuni ya maxi-malipo. Waliona changamoto ya watu kwenda kununua luku na kulipa bill za maji wakatengeneza utaratibu wa kulipa kupitia mitandao ya simu na kompyuta na wamefanikiwa kupata biashara
 
Uneweza kubadili kivipi changamoto kuwa shughuri ya kuingiza kipato?
Kama unaishi sehemu ambapo usafiri ni shida ... anzisha usafiri ...
Unaishi sehemu ambapo hakuna vinywaji .. anzisha uzalishaji wa vinywaji n.k
 
Back
Top Bottom