CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Wakuu katika biashara washindani ni watu muhimu sana na wana faida nyingi sana na moja wapo ikiwa ni kukufanya uongeze bidii katika biashara yako
Na katika biashara kuna aina kuu Tatu za washindani wa biashara ambazo ni
1. Direct competitors- Hawa ni washindani wa Moja kwa moja, Mfano kama wewe unafuga kuku basi wafugaji wenzako ni direct competitors, kama wewe unazaisha mikate basi wazalisha mikate wengine ni Direct cometitors
2. Inderect Competitors- Hawa ni wale ambao wanazalisha product ambazo ni close substute, wanazalisha bidhaa ambazo mteja badala ya kutumia product yako anaweza tumia hiyo nyingine
Mfano
- Watengeneza mikate- Inderect competitors wao ni- wapika mandazi, Keki, mihogo, viazi na kazalika
- Wafuga kuku- Wafuga ngombe/bucha za ng,ombe nyama/ wauza samaki na kazalika
3, Feature competitors/Portential competitors- Hawa ni washindani ambao bado hawajaingia sokoni na na kutokana na triend ya industry wanaweza ingia muda wawaote, so hawa wanaweza kuwa ni wale watakao zalisha biadhaa zinazo fanana
NI COMPETITORS GANI AMBAO NI HATARI KULIKO WENGINE?
1. Indirect Competitotors ndo washindani ambao inasemekana huwa wanaleta madhara makubwa sana kuliko hata Direct competitors na kudili nao huwa vigumu sana
Mfano
- Kampuni ya ndege ya Presision Air watakuwa wanapata ushindani mkubwa sana kwa upande wa Makampuni ya mabasi, mafano root za mwanza Dar, kwa sasa kuna mabasi kibao ambao mtu anaona bora apande basi ili kuokoa pesa
- Ukija kwenye swala la Ufugaji wa kuku, Hapa ni dhahiri kwamba, endapo kuku watapanda sana bei basi watu watakula nyama na samaki na maharage
UNAWEZAJE KUSPAY COMPETITORS WAKO?
1. kUSOMA WEBSITE YAKE, hii ni moja wapo ya njia za kuweza kutafuta habari kuhusu mshindani wako, kupitia website yake unaweza pata baadhi ya habari zinazo husu mshindani wako na jinsi anavyo fanya kazi
2. MAONYESHO YA BIASHARA
- Hii ni njia ya pili ya kuweza kupata habari zinazo husu nshindani wako, unaweza huzuria maonyesho ambayo mashindani wako yupo na ukatembelea banda lake kupata habari zake, Inagawa hutapata habari zote za kumuhusu
3. NUNUA BIDHAA/HUDUMA ZAKE
Hii ni moja wapo ya njia ya kumsoma mshindani wako, kama wewe una Hoteli unaweza ukawa mara moja moja unaenda kula kwa washindani wako ili kuweza kujua wao wanafanyaje, hii ni moja wapo ya nia nzuri za kuweza kujua ubora wa bidhaa na baadhi ya feature zake na hata udhaifu utaupata
4. AJIRI MOJA YA WAFANYA KAZI WAKE
Hii ndo njia ambayo inaweza kukupa baadhi ya siri zinazo husu mshindani wako, kupitia kuajiri mfanyakazi wake unaweza pata habari nyingi sana za wao wanafanyaje, wanazalisha vipi, wanauza vipi, wana mpango gani kwa baadae, na hii njia hutumiwa hata hukuBONGO KWETU
NB: Hii njia huwa imekaa kiusiri kiasi kwamba ni vigumu kwa anaye ajiriwa kujua kama wanamspay
MFANO:
KAMPUNI YA TIGO WANAWEZA TANGAZA NAFASI ZA KAZI, na kwenye moja ya sifa wakasema TUNATAKA MFANYAKAZI ATOKE KWENYE THE SAME SECTOR OR INDUSTRY, so hapa moja kwa moja watakao apply ni wakutoka VODA, AIRTEL,ZANTEL na kazalika na kupitia interview na baada ya kukujili wataweza kupata habari nyingi sana
5. TUMA SHUSHU/peleka mtu wako afanye kazi kwenye mshindani wako
Hii njia inatumika sana na ndo NJIA NAMBA MOJA NA YA UHAKIKA YA KUSPAY MSHINDANI WAKO, ILA NI YA HATARI SANA,
China wametumia sana hii njia na walikuwa wanapeleka watu kufanya kazi kwenye viwanda mbalimbali duniani na kuiba siri mbalimbali na kuzituma kwao,
Makampuni mengi sana hutuma mashushu wao kwenye washindani wao ili wakaibie baadhi ya siri za kampuni, Mfano TBL inaweza kuwa na mashushu wake kule Serengeti bia, na VODA anaweza kuwa na mashushu wake kule Tigo, Ila hii njia ni ya hatari sana kwani wakikugundua wanaweza kukufanyia kitu mbaya
NA KUNA BAADHI YA MAKAMPUNI ZILE IDARA NYETI ZENYE UMUHIMU MKUBWA HUWA WAFANYAKAZI WAKE WANAAPISHWA NA HATA KULINDWA KILA MAHALI WANAPO ENDA, chukulia mfano wapika KIMEA kwenye kampuni za bia hawa wanabebelezwa sana make ndo wameshikilia uhai wa kampuni
Nchi kama URUSI wale wafanya kazi wa viwanda vya makombola huwa wana mji wao wenyewe na hawaruhusiwi hata kutoka nje ya nchi yao
6. ULIZA WATEJA
Wateja wanao kuja kununua kwako nao wanaweza kukupa information za kuhusu washindani wako, UNAWEZA KUWAULIZA HIVI
- Mwazoni ulikuwa unanunua wapi?
- Kwa nini umekimbia hapo?
- Vipi bei yao?
- Vipi ubora wa bidhaa zao?