DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mimi si mtu wa vyama vya siasa au muumini wake ila kwa alichoongea kaka yangu Mh freeman Mbowe sikiafiki moja kwa moja na wala sikipingi.
Jana akiwa mwanza Mh.Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA MH Freeman Aikael Mbowe, kimoja kati ya alivyozungumzia ni kuhusu Utolewaji wa chanjo ya Uviko (uambukizo wa virusi vya korona) almaarufu kama COVID19
Ntanukuu:
"Serikali inasema Chanjo ya COVID-19 ni hiari ya Mtu, akatayependa ndiye apewe. Huu sio utaratibu wa WHO. Kwa wenzetu chanjo ni lazima, tunamuomba Mama Samia aweke utaratibu wa chanjo kuwa lazima na inapaswa itolewe kwa kila Mtu, huu ugonjwa unaua” alisema Mheshimiwa mwenyekiti Mbowe"
Siwezi ku " jaji" alichosema kwani ntakuwa naenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 (1 )na (2) na pia mbowe ana maumivu makali ya kupoteza wapendwa wake kwa COVID19
Lakini alichosema kuhusu WHO kufanya uchomaji wa chanjo hiyo kuwa lazima si kweli ila wameshauri kuhusu hilo.
Kilichosemwa na Mh Mbowe kinapingana moja kwa moja na Medical ethics ambacho Haimlazimu Healthcare Worker kumshurutisha mtu kupewa Dawa au matibabu bila ridhaa yake. Sasa shirika la afya dunia je limeruhusu kufanya hivyo....endelea kusoma .......
WHO WASEMAJE KUHUSU UCHOMAJI WA CHANJO YA COVID19 KUWA LAZIMA?(WHAT WHO SAID ABOUT MANDATORY COVID19 VACCINATION)
Who kupitia ukurasa wao mwaka 2021 mwezi wa 4 tarehe 13 walitoa Policy brief yaani maelezo kuhusu sera ya mandatory vaccination kama Kaka yangu akiweza akaipitie bado ipo pale kwenye tovuti yao sera hiyo ilikuwa inaitwa
"COVID-19 and mandatory vaccination: Ethical considerations and caveats Policy brief"
Ukisoma policy hiyo WHO wanaelezea kuhusu ulazima waliosema sio ulazima wa kisheria bali ni ulazima wa ki ethical yaani watu washawishiwe ili kila mmoja aweze kuchoma chanjo yake kwa uhuru na ndiyo maana ikaitwa hiari iliyo mandate ntanukuu kipengele cha sera hiyo, kwenye kipengele cha "what does mandatory vaccination entails"
"Despite its name, ‘mandatory vaccination” is not truly compulsory, i.e., force or threat of criminal sanction are not used in cases of non-compliance. It is therefore the kind of mandatory vaccination described at the beginning of this paragraph to which we refer in this document. Still, “mandatory vaccination” policies limit individual choice in non-trivial ways by making vaccination a condition of, for example, attending school or working in particular industries or settings, like health care. Such policies are not uncommon (2), although it should be noted that the World Health Organization (WHO) does not presently support the direction of mandates for COVID-19 vaccination, having argued that it is better to work on information campaigns and making vaccines accessible (4). In addition, WHO recently issued a position statement that national authorities and conveyance operators should not require COVID-19 vaccination as a condition of international travel (5).
Sasa kwa Tafsiri kutoka maneno ya hapo juu;
"Licha ya jina lake, 'chanjo ya lazima "sio lazima kiukweli, yaani, nguvu au tishio la adhabu ya jinai isitumike katika kesi za kutokufanya. Kwa hivyo ni aina ya chanjo ya lazima iliyoelezewa mwanzoni mwa aya hii ambayo tunarejelea hati hii. Bado, sera za "chanjo ya lazima" zinapunguza chaguo la mtu binafsi kwa kuweka njia ambazo lazma mtu kuzifanya , kwa mfano, kwenda shule au kufanya kazi katika tasnia au mipangilio, kama huduma ya afya. Sera kama hizo sio kawaida (2), ingawa inapaswa kuzingatiwa kuwa Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) haiungi mkono mwelekeo wa mamlaka za chanjo ya COVID-19, Na shirik linaona bora kufanya kazi katika kutangaza kwenye kampeni za habari (Kuhusu umuhimu wa chanjo) na kufanya chanjo kupatikana mda wote (4). Kwa kuongeza, WHO hivi karibuni ilitoa taarifa ya msimamo kwamba mamlaka ya kitaifa na Waendeshaji wa usafirishaji hawapaswi kuifanya chanjo ya COVID-19 kama kigezo cha kusafiri kimataifa(5)".
Hapo juu ndio msimamo halisi wa WHO kuhusu Chanjo ya COVID19 Kutokuwa ya lazima kwa mchomaji na ukisoma sera hiyo shirika hilo limeendelea kusema kuwa mchomaji anatakiwa awe na uhakika kamilifu kuhusu usalama wake juu ya chanjo hiyo na ubora wake..
KWA WALE WANAOIHITAJI SERA HII NAACHA LINK MWISHO WA THREAD HII
NINI TATIZO LA MHESHIMIWA MBOWE SASA!
Mweshimiwa mbowe anasuffer au kupata tatizo la ki "psycholojia linaloitwa Anosognosia Ambayo imechangiwa na condition moja ya kisaikolojia inayoitwa Thanatophobia
NB:
Anosognosia huukataa ukweli hata kama anajua kuwa huo ndo ukweli na gacts haibadiliki.
Na
Thanatophobia ni kuogopa kuwapoteza watu wa karibu hasa unaowapenda.
Condition hizi mbili zimemfanya aje na mawazo ya kuomba serikali kulazimisha chanjo hiyo ili kuwaprotect watu wote anaowapenda ikiwemo ndugu zake wa karibU ili kuepusha maumivu anayoputia ya COVID19 (kwa kumsikiliza jana nimeelewa sio tu kweye kupata ugonjwa pia hata gharama za matibabu ni kubwa sana ambazo kwa wananchi wa chini ni vigumu kizimudu)
My take
Serikali ifuate sera ya WHO kuhusu kutoa taarifa kwa wananchi na watu wote kuhusu umuhimu wa chanjo watakazowachoma, ubora wa chanjo na usalama wake ikiwemo maudhi ya chanjo kabla ya kuanza kuwachoma wananchi na taarifa zake ziwe wazi itasaidia wananchi kuwa na imani na serikali yao kwa hili
Asante.
DR MAMBOSASA ASANTE
Link ya sera ya MANDATORY YA WHO.