ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kwa wale wanaovaa Pete iwe dhahabu au silver au shaba ukijiskia kuitoa halafu ikagoma unaanza kuchanganyikiwa relax usipanic ni hatari lakini ni salama kama iliingia lazima kuna namna ya kuitoa. Na Mara nyingi Pete kugoma husababishwa nakuilazimisha Pete ndogo, au kuivaa Kwa muda mrefu Hatimaye kidole chako kukua sasa ikigoma kutoka Fanya yafuatayo.
1.izungushe zungushe huku ukiivuta ila usiilazimishe sana huenda ukasababisha kidole kuvimba zaidi.
2.tumia vilainishi kama vile mafuta ya kula, ya kupata, lotion, ky gel, ya nazi, samli n. K
3.ili kupunguza kuvimba Kwa kidole jaribu kukiloweka kwenye maji ya barid Kwa dakika kumi kisha endelea kukipaka kilainishi na jaribu kuitoa.
4.technique ya mwisho ni kwenda tu kuikata Kwa masonara Wana kifaa maalumu wanaikata bila kuumia kidole.
Kama kijanja wewe shtuka vaa Pete saizi yako. Uzi tayari ndo huo kama ifuatavyo