Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
mkuu nashauri aache kutumia kinga bali mtumie njia ya asili kuepuka mimba na inawezekana kalenda ikienda vizuri.Naomba msaada mwenzi Wangu anatoa HARUFU mbaya UKENI mara ya Kwanza.. alikua anatoa kwa sababu ya kutumia sindano za uzazi wa mpango..alipoacha HARUFU iliisha kabisa.. sasa kaweka kitanzi.. tatizo limerudi..atumie dawa gani ili aache kutoa harufu..!
Yeye alikuwa anatokwa na maji mazito meupe sehem za siri sikuwa hi kushuhudia ila nilidadisi kumuuliza bibi nijue tu huwa inakuwaje kuna majan flan aliponda akampa apake na aweke badae ikakata sasa, hayo majani mpaka niyapige picha nikupe ila jaribu kwanza kuwaulizia wakongwe wanaweza wakakawa wanayafahamu kama mkonao majirani hapo au bibi zenu kijijini, mimi kupiga picha mpaka nitoke niende barabarani
kwanini anajitoa akili
😛😀Wewe ndio unajitoa akili kupost vitu vya ajabu ajabu kumbe uko na uelewa na ufaham wa mambo ya maana. Kwa hicho ulichoandika nimeelewa kwanini Madame B alijilipua.
Huyu mtu wako kumbe yuko vizuri kichwani ila kuna wakati anajifanya mteule wa mkuu wa nchi..kama kichwa kimecheza.
Nimegundua yuko smart. Ndio maana nimasema wengine hatukukuelewa mwanzo kumbe wewe uliona amvacho wengi hawakioni.
Namba 5 na 6 ni ukweli mtupu.Sababu za kunuka k kwa wadada:-
1.kuvaa nguo za ndani zikiwa mbichi na zisizo asili ya cotton
2.kuvaa nguo za kubana(mf. Suruali) muda mrefu hususani kipindi cha joto Kali.
3.utumiaji wa sabuni zenye kemikali kuoshea mbunye
4. Kutojua kujisafisha vizuri kunako
5. Kutoa mimba, hususani kienyeji maana uchafu mwingi utabaki ndani
6.matumizi ya vidonge vya uzazi wa mpango uliokithiri.
7. Magonjwa ya zinaa
8. Kupigwa miti kila mara[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Duuh! Sipati picha boyfriend wake alivyo,,au ndo ndege wafananao.......[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Namba 5 na 6 ni ukweli mtupu.
Kuna rafiki yangu alikuwa mkikaa nae karibu, ukija upepo kutokea upande wake tu....hiyo harufu ya K ni balaa.
Dahh!!!
Ndio maana nilimuelekeza mtoa mada wajaribu kupima yanayotokea ndani ili wabaini ule uchafu unaweza ukaanzia kwenye mfuko wa uzazi na kuja hadi nje na mwingine huwa upo tu sehem za siri, mfano mtu akifanya mapenzi na asipasafishe kwa maji mengi akafuta tu akakaa mpaka jioni ule uchafu unakuwa kama unaoza hivi harufu ni lazima. Kipimo ni muhimu sanaSababu za kunuka k kwa wadada:-
1.kuvaa nguo za ndani zikiwa mbichi na zisizo asili ya cotton
2.kuvaa nguo za kubana(mf. Suruali) muda mrefu hususani kipindi cha joto Kali.
3.utumiaji wa sabuni zenye kemikali kuoshea mbunye
4. Kutojua kujisafisha vizuri kunako
5. Kutoa mimba, hususani kienyeji maana uchafu mwingi utabaki ndani
6.matumizi ya vidonge vya uzazi wa mpango uliokithiri.
7. Magonjwa ya zinaa
8. Kupigwa miti kila mara[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hamna...si unajua tena mapenzi halafu utakuta mwingine anampata mwanamke akiwa hana hilo tatizo,ila anakuja kulipata akiwa mikononi mwake so anashindwa afanyajeDuuh! Sipati picha boyfriend wake alivyo,,au ndo ndege wafananao.......[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
kaka we mwanaume unashidwa kujitahidi kutumia kalenda au kondom hio itasababisha madhara zaidi harufu kwani haikukeri mwishowe uanze kuchepuka umtese dadawa watuNaomba msaada mwenzi Wangu anatoa HARUFU mbaya UKENI mara ya Kwanza.. alikua anatoa kwa sababu ya kutumia sindano za uzazi wa mpango..alipoacha HARUFU iliisha kabisa.. sasa kaweka kitanzi.. tatizo limerudi..atumie dawa gani ili aache kutoa harufu..!
Anaeza tumia condom au akapiz njeCku zenyewe ni saba tu za kutopiga kitu au ndo wale waliogeuza ngono kama ugali
Ni km huyo dada yako
Bora deto jiki hapanamwana mtafutie Dettol ile ya maji au JIK.
Harufu itaisha tu