Njia za uzazi wa mpango zinamsababishia mpenzi wangu harufu mbaya ukeni

Njia za uzazi wa mpango zinamsababishia mpenzi wangu harufu mbaya ukeni

Naomba msaada mwenzi Wangu anatoa HARUFU mbaya UKENI mara ya Kwanza.. alikua anatoa kwa sababu ya kutumia sindano za uzazi wa mpango..alipoacha HARUFU iliisha kabisa.. sasa kaweka kitanzi.. tatizo limerudi..atumie dawa gani ili aache kutoa harufu..!
mkuu nashauri aache kutumia kinga bali mtumie njia ya asili kuepuka mimba na inawezekana kalenda ikienda vizuri.
Mkilazimisha unaweza kumsababishia madhara makubwa, harufu itokanayo na hizo kinga haina dalili njema
 
Yeye alikuwa anatokwa na maji mazito meupe sehem za siri sikuwa hi kushuhudia ila nilidadisi kumuuliza bibi nijue tu huwa inakuwaje kuna majan flan aliponda akampa apake na aweke badae ikakata sasa, hayo majani mpaka niyapige picha nikupe ila jaribu kwanza kuwaulizia wakongwe wanaweza wakakawa wanayafahamu kama mkonao majirani hapo au bibi zenu kijijini, mimi kupiga picha mpaka nitoke niende barabarani

nimeishia kucheka sana!ila ww ni commedian kbs
 
Mie nimeingiaje hapa?
Mwaka wangu huu...

Mung Chris babe....i love youuuuuu!!!!

Huyu mtu wako kumbe yuko vizuri kichwani ila kuna wakati anajifanya mteule wa mkuu wa nchi..kama kichwa kimecheza.
Nimegundua yuko smart. Ndio maana nimasema wengine hatukukuelewa mwanzo kumbe wewe uliona amvacho wengi hawakioni.
 
Sababu za kunuka k kwa wadada:-
1.kuvaa nguo za ndani zikiwa mbichi na zisizo asili ya cotton
2.kuvaa nguo za kubana(mf. Suruali) muda mrefu hususani kipindi cha joto Kali.
3.utumiaji wa sabuni zenye kemikali kuoshea mbunye
4. Kutojua kujisafisha vizuri kunako
5. Kutoa mimba, hususani kienyeji maana uchafu mwingi utabaki ndani
6.matumizi ya vidonge vya uzazi wa mpango uliokithiri.
7. Magonjwa ya zinaa
8. Kupigwa miti kila mara[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mwende wote hosp maana huyo anachoumwa na wewe baadaye utaumwa kwani mnasex... ataoza huyo na wewe utaoza hakuna dawa ya kuelezwa bila kupimwa zaidi mtapata dawa za kutuliza ugonjwa na sio kutibu... ndugu nendeni hosp mkapimwe wote mikojo ndo mpate tiba..
 
Huyu mtu wako kumbe yuko vizuri kichwani ila kuna wakati anajifanya mteule wa mkuu wa nchi..kama kichwa kimecheza.

Nimegundua yuko smart. Ndio maana nimasema wengine hatukukuelewa mwanzo kumbe wewe uliona amvacho wengi hawakioni.

No...yuko smarter kuliko.

Unajua nini, wanakwambia ukitaka ucheze ngoma usiyoijua, we fatisha mdundo tu.

Sasa yeye alikuwa anafatisha mdundo wa humu, ila akiwa katika ngoma anayoijua, mambo yanakuwa ni [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Sababu za kunuka k kwa wadada:-
1.kuvaa nguo za ndani zikiwa mbichi na zisizo asili ya cotton
2.kuvaa nguo za kubana(mf. Suruali) muda mrefu hususani kipindi cha joto Kali.
3.utumiaji wa sabuni zenye kemikali kuoshea mbunye
4. Kutojua kujisafisha vizuri kunako
5. Kutoa mimba, hususani kienyeji maana uchafu mwingi utabaki ndani
6.matumizi ya vidonge vya uzazi wa mpango uliokithiri.
7. Magonjwa ya zinaa
8. Kupigwa miti kila mara[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Namba 5 na 6 ni ukweli mtupu.
Kuna rafiki yangu alikuwa mkikaa nae karibu, ukija upepo kutokea upande wake tu....hiyo harufu ya K ni balaa.
Dahh!!!
 
mwana mtafutie Dettol ile ya maji au JIK.

Harufu itaisha tu
 
Namba 5 na 6 ni ukweli mtupu.
Kuna rafiki yangu alikuwa mkikaa nae karibu, ukija upepo kutokea upande wake tu....hiyo harufu ya K ni balaa.
Dahh!!!
Duuh! Sipati picha boyfriend wake alivyo,,au ndo ndege wafananao.......[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Sababu za kunuka k kwa wadada:-
1.kuvaa nguo za ndani zikiwa mbichi na zisizo asili ya cotton
2.kuvaa nguo za kubana(mf. Suruali) muda mrefu hususani kipindi cha joto Kali.
3.utumiaji wa sabuni zenye kemikali kuoshea mbunye
4. Kutojua kujisafisha vizuri kunako
5. Kutoa mimba, hususani kienyeji maana uchafu mwingi utabaki ndani
6.matumizi ya vidonge vya uzazi wa mpango uliokithiri.
7. Magonjwa ya zinaa
8. Kupigwa miti kila mara[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndio maana nilimuelekeza mtoa mada wajaribu kupima yanayotokea ndani ili wabaini ule uchafu unaweza ukaanzia kwenye mfuko wa uzazi na kuja hadi nje na mwingine huwa upo tu sehem za siri, mfano mtu akifanya mapenzi na asipasafishe kwa maji mengi akafuta tu akakaa mpaka jioni ule uchafu unakuwa kama unaoza hivi harufu ni lazima. Kipimo ni muhimu sana
 
Duuh! Sipati picha boyfriend wake alivyo,,au ndo ndege wafananao.......[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Hamna...si unajua tena mapenzi halafu utakuta mwingine anampata mwanamke akiwa hana hilo tatizo,ila anakuja kulipata akiwa mikononi mwake so anashindwa afanyaje
 
Naomba msaada mwenzi Wangu anatoa HARUFU mbaya UKENI mara ya Kwanza.. alikua anatoa kwa sababu ya kutumia sindano za uzazi wa mpango..alipoacha HARUFU iliisha kabisa.. sasa kaweka kitanzi.. tatizo limerudi..atumie dawa gani ili aache kutoa harufu..!
kaka we mwanaume unashidwa kujitahidi kutumia kalenda au kondom hio itasababisha madhara zaidi harufu kwani haikukeri mwishowe uanze kuchepuka umtese dadawa watu
 
Ninawifiangu alikua anaeka kitanzi yaani alikua ananuka kama ameoza ikabidi ajifunze kutumia kalenda na kuanza kutumia madawa ili apone imepona kabisa na uzazi wa mpango hatakihatakusikia kama mwanaume hataki kupiz nje badi siku za hatari hafanyi kabisa na unaenda mwaka wa4 yuko ok
Ni km huyo dada yako
 
Back
Top Bottom