Njia za uzazi wa mpango

Mh! Hizo sijawahi kuzisikia kabisa
 
Sasa enzi za bibi ako unakuta bibi na chumba chake babu ana chake (uliza watu wazima) na wapo wote make hapo miti ya manati.

Sie wa sasa asubuhi mchana jioni imo....tutafananaje sasa
Asijisahaulishe pia bibi yake alikuwa na wake wenzie km 7

Kingine kuna ambao wakinyonyesha hapati hedhi mpaka akiachisha hao ndo walikuwa wananyonyesha mtoto mpk miaka 3

Wakitoa mifano ya bibi zao sie tutawatolea ya babu zao
 
Hiyo ya kwanza ni kitanzi, kinaongeza nyege vibaya mno, shida yake magonjwa nje nje
 
Demu wangu aliwahi kuchoma sindano ya miaka miwili aisee nilisota maana kwa mwezi naweza nikawa nyapu mara tatu au ukapita hola kabisa , hatukufika mbali tulibwagana
Mkuu demu wako au Single Mother?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…