Nyeto na ukimwi bora kipi?Kwa iyo saiz nyeto sio shida kwa afya??
Kwa nini wazuie wanawake kufanya puny.eta...Mikanda hii ilitengenezwa kwa chuma na ngozi, na ilikuwa na mfumo tata wa kufunga. Ingawa kuna mjadala kuhusu uhalisia na matumizi yake kwa wingi katika enzi za kati, inafahamika kuwa kufikia karne ya 19, vifaa vinavyofanana na hivyo vilitumika barani Ulaya kuzuia punyeto, ambayo wakati huo iliaminika kuwa hatari kwa afya.