Watatoka tuu mamndenyiiNinasema CCM kuitoa ni ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watatoka tuu mamndenyiiNinasema CCM kuitoa ni ngumu
Hata mrukeruke kama maharage kwenye sufuria wkt wa kuchemka,mtalainika tu!Gentleman,
hakuna marekebisho yoyote yanatakiwa hapo,
uchaguzi ni jambo la waTanzania wote wanaostahili kupiga kura.
na kwahiyo,
october mwaka huu 2025, waTanzania wote wenye sifa na vigezo stahiki vya kikatiba watashiriki uchaguzi mkuu bila kujali makelele au mayowe ya matapeli na vibaka wowote wa kisiasa nchini![]()
na uchaguzi utafanyika kwa amani na utulivu, salama na amani.Hata mrukeruke kama maharage kwenye sufuria wkt wa kuchemka,mtalainika tu!

Chenye mwanzo kina mwisho. Ukisoma historia ya dunia kulikuwa kuna falme kubwa na zenye nguvu sana duniani lakini zilianguka. Inaweza isiwe 2025 kama mtajiweka madarakani kwa mlango wa nyuma lakini ukweli ni kwamba mwisho wenu unakaribiaNinasema CCM kuitoa ni ngumu
Nyepesi mnoNinasema CCM kuitoa ni ngumu