Gentleman,
hakuna marekebisho yoyote yanatakiwa hapo,
uchaguzi ni jambo la waTanzania wote wanaostahili kupiga kura.
na kwahiyo,
october mwaka huu 2025, waTanzania wote wenye sifa na vigezo stahiki vya kikatiba watashiriki uchaguzi mkuu bila kujali makelele au mayowe ya matapeli na vibaka wowote wa kisiasa nchini