Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Natumain wazima?
Kama kichwa cha habari kilivyo. Maisha yanahitaji akili ichangamke na kujituma hakuna janja janja,Kwa mlioajiriwa muda mwingi ofisi zinawahitaji muhudimie na Kwa muda sahihi ulioangwa.Mnawezaje na mnatumia mbinu gani kuweza kubalance mambo na mkakua kiuchumi na kazi zikaenda sawa sawa zaidi kilimo na biashara
Natamni nifahamu zaidi mfano umeamua kujishughulisha na kilimo namna mnaendesha na mnasimamia hivo vitu na mkawin Kwa uwiano mzuri bila kuathiri kazi?
Kwenye biashara pia mnamanage vipi kuzisimamia na mnatumia mbinu ipi zinaenda sawa hata mda mmebanwa na majukumu?
Tunaomba mshare experience
Natanguliza shukrani🙏