Njiwa wa kufugwa wamekuja Jenga kwangu, Sasa wamezaliana kibao. Nini maana yake?

Ni mazingira salama kwa maisha yao,ndio maana wamepachagua kwako na sio nyumba zngne,endelea kuishi vizuri na watu,scenario hiyo haina tafsiri mbaya;njiwa hana shida,wenye shida ni sisi binadamu, kuwa na amani Mkuu...
 
Wakuu naombeni majibu.Inafaa kuwakaanga na kula
Kama walihamia bila ridhaa yako na haujui walikotoka, hao ni wa kuokota ni ridhiki Mungu kakupatia watafune!

Kama haujawahi kufuga hao viumbe, wana masharti ya ajabu ajabu katika kuwatunza na hata kuwachinja kwake.

Wakiona damu ya mwenzao inamwagika mbele yao, basi makazi hayo kwao yapo mashakani, wanahama kwa mkupuo na kwenda kuishi mbali ambapo hautawafikia ukiwatafuta na nadhani walikuja kwako kwa mtindo huo.

Ukitaka kuchinja lazima uwachinje kwa pair, yaani dume na jike, hawataki habari ya ujane ama ugane!
 
Ni mazingira salama kwa maisha yao,ndio maana wamepachagua kwako na sio nyumba zngne,endelea kuishi vizuri na watu,scenario hiyo haina tafsiri mbaya;njiwa hana shida,wenye shida ni sisi binadamu, kuwa na amani Mkuu...
😍
 
SmartSelect_20211231-071044_Chrome.jpg
 
Kama walihamia bila ridhaa yako na haujui walikotoka, hao ni wa kuokota ni ridhiki Mungu kakupatia watafune!

Kama haujawahi kufuga hao viumbe, wana masharti ya ajabu ajabu katika kuwatunza na hata kuwachinja kwake.

Wakiona damu ya mwenzao inamwagika mbele yao, basi makazi hayo kwao yapo mashakani, wanahama kwa mkupuo na kwenda kuishi mbali ambapo hautawafikia ukiwatafuta na nadhani walikuja kwako kwa mtindo huo.

Ukitaka kuchinja lazima uwachinje kwa pair, yaani dume na jike, hawataki habari ya ujane ama ugane!
Du aisee hao viumbe wanamasharti sana
 
Wanyama wengine kula mpaka aibu. Niliwahi kula njiwa nikiwa la 6 ila sijala tena mpaka leo kwa sababu ili uridhike nyama ya njiwa utatakiwa kula wangapi?

Na kuwafuga nako ni mtihani mwingine maana kumaintain usafi ni shughuli.
 
Back
Top Bottom