The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Habari ndugu!
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Geophrey Pinda, leo Jumanne, bungeni jijini Dodoma amesema si wanaume pekee wanaoua wenza wao kwani hata baadhi ya wanawake hufanya hivyo hususani mkoani Njombe ambapo wamebaini asilimia 75 ya wanawake walioko katika gereza la mkoa huo wanatuhuma za mauaji ya waume zao.
----
Kwa wale mnaotaka Kuoa huko Njombe chukua tahadhari hasa kama wewe ni mchepukaji basi usipende huko maana watu Wana wivu na hasira Kali ,wako radhi kukosa wote au mgawane nyumba za serikali..