Hii ni kweli kbs, nilisha wahi kuishi Njombe maeneo a Matalawe na Chaugingi, Nyumba za majirani nilipo kuwepo hazina Waume wengi ni wamama Single, kwahio hii nikweli kbs namm nilisha wahi kuwauliza wanadai ni imani za kishirikina ndio zimetawala haswa kutokea kwa Wakinga