Njombe: Afariki ndani ya gari akiota moto kwenye jiko la mkaa

Njombe: Afariki ndani ya gari akiota moto kwenye jiko la mkaa

Carbon monoxide is stronger than haemoglobin so its easier to replace haemoglobin ambayo ndio inabeba oxygen hatimaye tunasema RIP same to lead ambayo ndio ipo kwenye betri.
Lead nayo inauaje?
 
Niliendaga tanga huko juu milima ya usambara,kuna baridi kali
Usiku tulipokuwa tuko ndani alikuja mama mmoja akatuambia
Nimewaleteeni kuni zenye moto atuweke ndani ili kuwe na joto!
Nkamwambia mama asanteee...Acha tu tutalala hivi hivi
😄

Ova

Kuni hazina shida. Nimelala na jiko la kuni kwa zaidi ya miaka 20.

Tatizo ni mkaa!
 
Kuni hazina shida. Nimelala na jiko la kuni kwa zaidi ya miaka 20.

Tatizo ni mkaa!
Mkaa nao si unatokana na kuni
Labda we wakati unalala na jiko la mkaa ulikuwa unaliweka mbali,huku madirisha umeweka wazi

Ova
 
Lead nayo inauaje?
Lead nayo process yake ni kama hiyo carbon monoxide affinity ya lead na carbon monoxide ni kubwa kuliko haemoglobin hvyo waki replace hakuna transport ya oxygen kwenye blood hence death occurs.
 
Carbon monoxide or Carbon Dioxide effects?
Wataalamu wabobevu wa masuala ya Chemistry tusaidieni kwenye hili.
Carbon monoxide Ili react na oxy-haemoglobin ku produce carboxy-haemoglobin ambayo hii compound ilizuia usafirishaji wa Oxygen Toka kwenye mapafu kwenda kwa damu na sehem zote za mwili hasta vital organs yaani the Brain and heart !!

Mara nyingi inakua slow death ni kama unalewa hivi utahisi ni usingizi halafu unaishiwa nguvu pole pole unadhani ndio unalala baadae too late hata nguvu za kuinuka unakosa !Gone !
 
Back
Top Bottom