Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
🤣🤣🤣HUko ndo Kwa kuhamiaTutaomba muongozo kwa mwenyekiti maana inavyoonyesha unaweza jifanya unalala kitandani kumbe uko juu ya kaburi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣HUko ndo Kwa kuhamiaTutaomba muongozo kwa mwenyekiti maana inavyoonyesha unaweza jifanya unalala kitandani kumbe uko juu ya kaburi
😲😲😲😲😲😲Thubutu yao
Huko hata kula Ile kitu inamesa nyesie Kwa mama yoyo inabidi uombe muongozo Kwa mwenyekiti lasivyo utajikuta unahondomola mgomba🤣🤣🤣HUko ndo Kwa kuhamia
Uchunguzi unaufanyaje hebu Vaa viatu vya huyo mchunguzi utaanzia wapi? Kwa mganga au kanisaniAliehukumu hiyo kesi atakuwa mmojawao! Kuna walakini kisheria kwenye haya maamuzi.uchunguzi unapaswa kufanyika.
[emoji3][emoji3][emoji3]umezidi kamba we jmaaHuko hata kula Ile kitu inamesa nyesie Kwa mama yoyo inabidi uombe muongozo Kwa mwenyekiti lasivyo utajikuta unahondomola mgomba
🤣🤣🤣Aisee,Mecheka mno. Kuna baba mmoja mbeya hii hii alikuwa akiwauzia Kuni wateja ni lazima walalamike zilisumbua kuwaka yaan zilikuwa mbichi....lakini walikuwa hawaachi kununua kwake.Ukiziangalia Kuni Kwa mwonekano wa nje zimekauka balaa....Kumbe changa la macho bana Ile ilikuwa ni miwa anaigeuza tuHuko hata kula Ile kitu inamesa nyesie Kwa mama yoyo inabidi uombe muongozo Kwa mwenyekiti lasivyo utajikuta unahondomola mgomba
Sio Mimi mtoa mada huyo[emoji3][emoji3][emoji3]umezidi kamba we jmaa
Sent from my Infinix X665B using JamiiForums mobile app
Utaalamu wa hali ya juu kabisa naamini wakikomaa hata hizi tozo zitageuzwa tuu hakuna haja ya kulalamika lalamika tozo, geuza mawaziri shingo zigeuke nyuma huku wao wanaenda mbele wataacha kujitungia visheria vya uongo🤣🤣🤣Aisee,Mecheka mno. Kuna baba mmoja mbeya hii hii alikuwa akiwauzia Kuni wateja ni lazima walalamike zilisumbua kuwaka yaan zilikuwa mbichi....lakini walikuwa hawaachi kununua kwake.Ukiziangalia Kuni Kwa mwonekano wa nje zimekauka balaa....Kumbe changa la macho bana Ile ilikuwa ni miwa anaigeuza tu
Witchcraft Act Soma kifungu Cha 3 na 5 😀😀😀Sijui ni sheria gani ya ushahidi imetumika hapo
Mtu anaua kwa panga usiku akiwa peke yake anakamatwa na kuhukumiwa jela hakimu huwa anathibitishajeNawaza tu wamewezaje kutoa ushahidi wa kuthibitisha ushirikina mapaka hakimu nae akaamini.
Siyo Penal code wanatumia The witchcraft act.Kumbe penal code ina vifungu vya sheria kuhusu imani za kishirikina???.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hakuna ithibati kisheria kwenye uchawi popote pale! Hapa ulitumika ushahidi wa kimazingira na nature ya eneo husika. Ushahidi wa hivyo unaweza kuwa halali kwa eneo walilopo, na kuwa batili kwa eneo lingine tofauti na hapo, lakini pia unaweza kutumiwa/kutumika kama rejea- kwenye kesi itakayofanana na hiyo kimazingira. Na kupelekea mwendelezo wa moja ya maamuzi ya hovyo kabisa kimahakama. Sijui kama nimeeleweka kisheria!?Uchunguzi unaufanyaje hebu Vaa viatu vya huyo mchunguzi utaanzia wapi? Kwa mganga au kanisani
Ndio mwana sheria umeelewekaHakuna ithibati kisheria kwenye uchawi popote pale! Hapa ulitumika ushahidi wa kimazingira na nature ya eneo husika. Ushahidi wa hivyo unaweza kuwa halali kwa eneo walilopo, na kuwa batili kwa eneo lingine tofauti na hapo, lakini pia unaweza kutumiwa/kutumika kama rejea- kwenye kesi itakayofanana na hiyo kimazingira. Na kupelekea mwendelezo wa moja ya maamuzi ya hovyo kabisa kimahakama. Sijui kama nimeeleweka kisheria!?
Alafu wanasali sijapata kuona, kila kengele haoo wanaenda hadi nilishangaa.Vipo,huko wapelekewe dini na elimu vinasaidia kupunguza huo ujinga
Wachawi na majambazi ndio watu wanaosali sana ila usiombe uingie 18 zao usikuAlafu wanasali sijapata kuona, kila kengele haoo wanaenda hadi nilishangaa.
Kazi ipoMahakama ya Wilaya ya Ludewa imemhukumu kifungo cha miaka 5 jela John Chale(60) mkazi wa kata ya Ilela wilayani Ludewa mkoani Njombe kwa kosa la kumfanyia vitendo vya kishirikina mtoto wa mdogo wake Videana Chale(18) na kupelekea kupata ukichaa.
Akisomewa hukumu hiyo na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama ya Ludewa Isaac Ayengo imeelezwa kuwa binti huyo alipatwa na kichaa ambapo wazazi wake walimpeleka kwa mganga wa kienyeji ndipo walipoambiwa kuwa amerogwa na mshtakiwa huyo.
Lakini hawakuishia hapo walimpeleka kanisani nako ikagundulika hivyo pia ndipo walipoamua kumuuliza mshtakiwa huyo kwakuwa amekuwa na tabia ya vitendo vya kishirikina na anamiliki nyoka ndani ya nyumba yake ambaye kwa macho ya kawaida amekuwa akionekana kama jiwe.
Aidha mshtakiwa huyo alikiri kutenda kosa hilo ndipo baba mzazi wa mtoto huyo Hekima Chale akaamua kupeleka jambo hilo katika vyombo vya sheria ambako mtuhumiwa huyo alikana lakini baada ya kufanyika upelelezi na ushahidi uliotolewa na pande zote mbili mahakama ilijilidhisha kuwa yeye ndio ametenda kosa hilo.
Mwendesha mashtaka wa serikali aliiomba Mahakama kumpatia mshitakiwa adhabu kali ili iwe fundisho kwake na jamii kwa ujumla kwani vitendo vya kishirikina vinasababisha migogoro ya familia na jamii kwa ujumla na kupelekea mauaji na baada ya hoja hizo Mahakama imeamuru mshitakiwa kutumikia kifungo cha Miaka 5 gerezani.
Source: Issa Michuzi