Njombe: Ahukumiwa miaka mitano jela kwa kosa la ushirikina

Aliehukumu hiyo kesi atakuwa mmojawao! Kuna walakini kisheria kwenye haya maamuzi.uchunguzi unapaswa kufanyika.
Uchunguzi unaufanyaje hebu Vaa viatu vya huyo mchunguzi utaanzia wapi? Kwa mganga au kanisani
 
Huko hata kula Ile kitu inamesa nyesie Kwa mama yoyo inabidi uombe muongozo Kwa mwenyekiti lasivyo utajikuta unahondomola mgomba
🤣🤣🤣Aisee,Mecheka mno. Kuna baba mmoja mbeya hii hii alikuwa akiwauzia Kuni wateja ni lazima walalamike zilisumbua kuwaka yaan zilikuwa mbichi....lakini walikuwa hawaachi kununua kwake.Ukiziangalia Kuni Kwa mwonekano wa nje zimekauka balaa....Kumbe changa la macho bana Ile ilikuwa ni miwa anaigeuza tu
 
Utaalamu wa hali ya juu kabisa naamini wakikomaa hata hizi tozo zitageuzwa tuu hakuna haja ya kulalamika lalamika tozo, geuza mawaziri shingo zigeuke nyuma huku wao wanaenda mbele wataacha kujitungia visheria vya uongo
 
Uchunguzi unaufanyaje hebu Vaa viatu vya huyo mchunguzi utaanzia wapi? Kwa mganga au kanisani
Hakuna ithibati kisheria kwenye uchawi popote pale! Hapa ulitumika ushahidi wa kimazingira na nature ya eneo husika. Ushahidi wa hivyo unaweza kuwa halali kwa eneo walilopo, na kuwa batili kwa eneo lingine tofauti na hapo, lakini pia unaweza kutumiwa/kutumika kama rejea- kwenye kesi itakayofanana na hiyo kimazingira. Na kupelekea mwendelezo wa moja ya maamuzi ya hovyo kabisa kimahakama. Sijui kama nimeeleweka kisheria!?
 
hivi hiyo kesi inaweza kutumika kama Reference Kwenye kesi nyingine?
 
Ndio mwana sheria umeeleweka
 
Kazi ipo
 

Attachments

  • Screenshot_20220830-111239_Instagram.jpg
    101.6 KB · Views: 7
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…