Njombe: Ahukumiwa miaka mitano jela kwa kosa la ushirikina

Jamaa kosa lake ni kukubali, angekataa hangepatikana na hatia. Labda kama nyoka anaonekana ni kosa la kufuga nyoka bila kibali na si vingenevyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 

Kwa kifupi hukumu haieleweki, hizi imani zinaharibu sana intelligent things
 
Kwahiyo baada ya kuhukumiwa miaka 5 huyo mgonjwa was kichaa kimepona?
 
Hukumu za namna hii ndio zinazofanya mtu akikata rufaa kesho mnapishana nae mtaani rufaa imemtoa.

unamuhukumu vipi mtu kwa kosala kishirikina,mmeshindwa mtafutia sababu ingine kabisa kama mmeamua mkomesha? Au mahakmu wengine wanajisahau kuwa hii ni Tanzania nini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…