mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
Hii kesi naona dogo atakuwa aliwanunua malaya akazingua kuwalipa.....wanawake wanasikilizwa sana kwenye hizi kesi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ameingiza hadi akafungwa miaka 180 na wengine waendelee ila wasikamatwe tu.Aliwaingizia matango? Aliwaonaje mpaka awafanyie hivyo, ina maana aliwaona ni wakubwa sana huko sehemu za siri na yeye ni mdogo kiasi cha kutojaa vizuri ndani mwao? Ila haya mambo yasikieni tu, huwa yapo, mtu unaingiza dushe lote halafu unaambiwa halijaingia vizuri na halijabana ingiza na vidole, hapo utajisikiaje kama si kudharauliwa na kushikwa na hasira uingize vitu kama matango? Inaudhi sana
Mtu mzima anahesabika kuanzia miaka 18 kisheria!!Duh 27 akitoka hapo mzima kashazeeka sana afu tuko naye age moja aisee ngoja nichunge sana uselemani kumbe mahakama inatuchukulia 27 ni watu wazima.duh
Anatoka na miaka 57, kafungwa miaka 30Kesi alipewa mwanamke ,akitoka atakuwa na miaka 227
Mungu amsaidie
Anakamuliwaje hiyo milion moja moja kwa kila muathirika?Mahakama ya Wilaya ya Njombe imemhukumu Juma Msemwa (27) na Mkazi wa Njombe, kutumikia kifungo cha miaka 180 jela kwa Makosa 6 ya ulawiti na ubakaji, ambapo kila kosa anatakiwa kwa miaka 30.
Akisoma hukumu ya kesi hiyo namba 53 ya Mwaka 2023, Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Njombe Matilda Kayombo, amesema mshtakiwa amekutwa na hatia katika makosa sita, matatu yakiwa ni ubakaji na matatu yakiwa ni makosa ya ulawiti anayodaiwa kutenda Mei 16 hadi 23, 2023 katika Mtaa wa Kihesa Kilimani Mkoani Njombe.
Hakimu Matilda ameeleza kwa mahakama imemtia hatiani baada ya kusikiliza ushahidi uliotolewa na mashahidi saba, wakiwemo waathirika wa matukio, Taarifa ya uchunguzi wa Daktari, uongozi wa Serikali ya Mtaa pamoja na Jeshi la Polisi.
Juma Msemwa anadaiwa kutenda makosa hayo kwa nyakati tofauti, baada ya kuwahadaa Wanawake watatu na kisha kuwafungia katika nyumba aliyokuwa anaishi katika Mtaa wa Kihesa, kisha kuwalawiti na kuwabaka kwa zamu usiku na mchana, zoezi lililoenda sambamba na kuwaingiza magunzi ya mahindi na matango katika sehemu za siri.
Taarifa zilizosaidia kukamatwa kwake zinaelezwa na mahakama kuwa zilitolewa na mmoja kati ya wanawake aliokuwa amewateka, ambaye alifanikiwa kutoroka na kupiga yowe kwa majirani ambao walivamia nyumbani kwa Juma na kukuta Wanawake wengine wawili wakiwa ndani.
Aidha, vilevile kulikutwa mfuko ukiwa na dawa za kienyeji, huku mahakama ikieleza kuwa sehemu ya ushahidi uliotolewa ulibainisha mtuhumiwa baada ya kuhojiwa alikiri kwamba alifanya matukio hayo akiwa anatekeleza maagizo ya mganga aliyemtaka abake Wanawake na Watoto.
Waendesha mashtaka wakiongozwa na Magdalena Whelo na Elicy James waliiomba mahakama kutoa hukumu kali kwa mtuhumiwa ili iwe funzo kwa jamii yote ikizingatiwa kwamba matukio ya ubakaji na ulawiti yamekuwa yakiongezeka Mkoani Njombe.
Mahakama imeeleza baada kujiridhisha na ushahidi uliotolewa imemhukumu Juma Msemwa kutumikia miaka 30 jela kwa kila kosa, katika makosa yote sita yaliyomtia hatiani, ambayo ni kinyume na kifungu cha sheria namba 130 kifungu kidogo cha kwanza na cha pili (e) sambamba na kifungu kidogo cha kwanza cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu Kifungu namba 16 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2022.
Hata hivyo pia adhabu hiyo ya kifungo imekwenda sambamba adhabu ya faini ambapo Juma Msemwa anatakiwa kulipa fidia ya fedha kiasi cha Shilingi Milioni moja, kwa kila muathirika wa makosa aliyoyafanya.
Nakumbuka waliongelea humu aliwaingiza siku tofauti tofauti anatongoza anawaita nyumban wakifika ana wa ambush wa kuwapiga wakizimia anawafunga kamba afu anawaeka matambara mdomoni kazi inaanza...Hii kesi Ina utata mwingi sana...
1. Wanawake watatu wafungiwe ndani na Mwanaume mmoja????
2. JE huyo mwanaume Alikuwa na Bastola ama Alikuwa akiwatisha kwa KIPI????
3. JE huyo Mwanaume aliwazuia nini kutao sauti????
4. Anamuingiza tango mwanamke na wanawake wawili wanashuhudia.?????
HII KESI KWANGU INA UTATA MWINGI MNO.
Duh! Hii kali.Huko Mbeya na Iringa kuna dogo alitomba wanawake 300 akitumia dawa za Kishirikina akiwemo Mke wa Mchungaji kanisa ambalo dogo alikuwa akisali
Soma kwanza hukumu yote,alafu ndiyo uainishe hayo mapungufu(utata)Hii kesi Ina utata mwingi sana...
1. Wanawake watatu wafungiwe ndani na Mwanaume mmoja????
2. JE huyo mwanaume Alikuwa na Bastola ama Alikuwa akiwatisha kwa KIPI????
3. JE huyo Mwanaume aliwazuia nini kutao sauti????
4. Anamuingiza tango mwanamke na wanawake wawili wanashuhudia.?????
HII KESI KWANGU INA UTATA MWINGI MNO.
Ah kumbe ndiyo ipo ivyoAtaishi jela miaka 20.. Miaka jela unaishi 2/3 ya muda uliohukumiwa. Vifungo 6 vya miaka 30 vinaenda pamoja do ni miaka 30 na kwa kuwa unatumikia 2/3 maana yake ni atakaa jela kwa miaka 20