Njombe: Aliyeshtakiwa kwa kuwabaka Wanawake kwa zamu na kuwaingizia matango sehemu za siri ahukumiwa miaka 180 jela

Hii kesi naona dogo atakuwa aliwanunua malaya akazingua kuwalipa.....wanawake wanasikilizwa sana kwenye hizi kesi.
 
hii habari imejirudia au ni ile ile niliwahi kuisoma humu humu ?

mbona ina ukakasiwingi sana ?

hao
wanawake aliwamakataje na wapi !
wana umri gani ?
 
Juma Msemwa anadaiwa kutenda makosa hayo kwa nyakati tofauti, baada ya kuwahadaa Wanawake watatu na kisha kuwafungia katika nyumba aliyokuwa anaishi katika Mtaa wa Kihesa, kisha kuwalawiti na kuwabaka kwa zamu usiku na mchana, zoezi lililoenda sambamba na kuwaingiza magunzi ya mahindi na matango katika sehemu za siri.

KWENYE KESI HII WASHITAKIWA WALITAKIWA KUWA:
1.WANAWAKE
2.MFUNGWA
3.MGANGA WA KIENYEJI
 
Ndio ameingiza hadi akafungwa miaka 180 na wengine waendelee ila wasikamatwe tu.

Za mwizi siku hizi si 40 ni 25.
 
Hivi ni kweli huko jela mchana na usiku huhesabiwa ni siku mbili?
 
muache kudharau wanaume zenu kuwa wana vibamia, mtaingiziwa matango msababishe wafungwe
 
Orijino yenyewe kuingiza kule ni shughuli pevu pamoja na haina mikwaruzo why gunzi litereze kuingia kule? Kwa tango hakuna ubishi japo nalo ni nene kwa diameter. Duh! Haya mambo hutokea pale mwanaumea anapoamua kumkomoa mwanamke wake. Huyo mganga aliyempa masharti hayo ni ibilisi kabisa. Watu wengine nao akili zao haziwatoshi katika kutafuta hela na utajiri. Utajiri gani huo wa kuingizia wanawake magunzi na mapapai sehemu zao za siri? Hawa ndio wale wakiambiwa wakajamiane na wanyama ili wapate utajiri wanaenda kufanya hivyo
 
Duh 27 akitoka hapo mzima kashazeeka sana afu tuko naye age moja aisee ngoja nichunge sana uselemani kumbe mahakama inatuchukulia 27 ni watu wazima.duh
Mtu mzima anahesabika kuanzia miaka 18 kisheria!!
 
Atalipaje faini na wakati atafia gerezani! Miaka 180! Sio mchezo!
 
Hii kesi Ina utata mwingi sana...

1. Wanawake watatu wafungiwe ndani na Mwanaume mmoja????

2. JE huyo mwanaume Alikuwa na Bastola ama Alikuwa akiwatisha kwa KIPI????

3. JE huyo Mwanaume aliwazuia nini kutao sauti????

4. Anamuingiza tango mwanamke na wanawake wawili wanashuhudia.?????

HII KESI KWANGU INA UTATA MWINGI MNO.
 
Anakamuliwaje hiyo milion moja moja kwa kila muathirika?
 
Nakumbuka waliongelea humu aliwaingiza siku tofauti tofauti anatongoza anawaita nyumban wakifika ana wa ambush wa kuwapiga wakizimia anawafunga kamba afu anawaeka matambara mdomoni kazi inaanza...

Ilikua unyama pro max....
 
Soma kwanza hukumu yote,alafu ndiyo uainishe hayo mapungufu(utata)
 
Njombe iwe nchi ipeperushe bendera yake tu maana sio kwa matukio haya mfululizo
 
Ataishi jela miaka 20.. Miaka jela unaishi 2/3 ya muda uliohukumiwa. Vifungo 6 vya miaka 30 vinaenda pamoja do ni miaka 30 na kwa kuwa unatumikia 2/3 maana yake ni atakaa jela kwa miaka 20
Ah kumbe ndiyo ipo ivyo
Nilikuwa najiuliza atawalipa vipi wakati anaweza fia huko gerezani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…