Njombe: Aliyeshtakiwa kwa kuwabaka Wanawake kwa zamu na kuwaingizia matango sehemu za siri ahukumiwa miaka 180 jela

Waliokua wanamsifia kwa kumuita kidume huyo firauni mwenzao wakamsaidie sasa hiyo miaka,

Kuna Watu hawastahili kuishi kabisa, Kongole kwa Mahakama.
Cha ajabu, my Queen, waliomlawiti binti wa Yombo wataachiwa huru.

Hapo ndio tunajifunza kuwa mara nyingi masikini na wasio na vyeo ndio inakula kwao sana.
 
Kama ilivyofanyika kwa huyu ndivyo ikafanyike kwa Wabakaji/Wafiraji wa binti wa Yombo Dovya
 
Sasa atatoka lini 🤣🤣
Hii hukumu inachekesha🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…