Njombe: Amuua mwanamke kwa kumtoa utumbo kwa kuingiza mkono wake njia ya haja kubwa kisa Kukataliwa Kimapenzi

Huko Njombe kumeingiwa na ibilisi gani, kila mwaka vifo vya utata?
 
Hapana aisee.
Hivi kuna nini Njombe? Mbona matukio yanazidi kuongezeka?
 
Sasa Balthazar kwann amlazimishe bibi wa watu awe mchumba ake? Yeye vijana wenzie hakuwaona? Lol
 
Duuh hii
 
Wote walikuwa na mental disorder coz nilikuwa nawajua , walikuwa wote kwenye pombe ila kijana pia alikuwa anakula mjani hivyo sio kwamba walikuwa wako sawa la hasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…