Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miongoni mwa mambo yaliyoshangaza niAlikua mganga wa jadi bwashee ni maarufu Sana mkoani Njombe ila ni Aina ya wale waganga wanaojiganga maana alikua njema Sana kiuchumi na ana miradi kibao!
😅 😅mzee ana pesa chafu huyo na alikuwa anaogopwa sana
1,000,000,000= 1000x1000x1000Bilioni moja inafananaje?!
Huenda ni ndugu au ni mtu mwingine ameiba jina kutokana na umaarufu wa huyu marehemuHivi huyu ana uhusiano na yule Mwandulami wa Buza? sababu nae ana clinic yake pale Buza!
Alikuwa mganga mkuu wa hospitali gani
Mkuu,inasemekana kaburini kuna joto Kali sn.Kwa hiyo hayo madirisha ni Kwa ajili ya kupitisha hewa iingie ndani..Ila mm siyo designer wakeHayo madirisha aliweka ya kazi gani kwenye kaburi, designer wake atufunguwe akili
View attachment 1840366
acha masikhara shekheMkuu,inasemekana kaburini kuna joto Kali sn.Kwa hiyo hayo madirisha ni Kwa ajili ya kupitisha hewa iingie ndani..Ila mm siyo designer wake
Kaburi nyumba ya milele,haina kupigiwa hodi wala haina kudaiwa kodi.Anatulia zake Safi kabisa huku hewa Safi na mwanga vikipita dirishani
Kwahiyo ndani ya hilo kaburi zimeingia 1000 x 1000 x 1000!1,000,000,000= 1000x1000x1000
Huyu mwamba Dk Mwandulami katangulia mwenye taarifa rami za mazishi aweke hapa tuone kama tunaweza kwenda kumpumzisha ndugu yetu.
View attachment 1840161
Don't mention it. Ni kazi yetuAsante mods Kwa kuunganisha Uzi !
🙏🙏🙏🙏🙏
Vipi ameponya wengi.yeye kashindwa kujiponya?Alikuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo Cha Afya Mwandulami pale Mtwango.
Mkuu kumbe yule mzee unampata daaa wewe utakua Mtwango unapapata vema,Ikumbukwe kuwa yeye si mtu wa kwanza kujijengea kaburi in advance, hilo jambo alijifunza kutoka kwa mzee Lutengano wa Mtwango, Mzee Lutengano aliwahi kuwa mkuluma maarufu miaka hiyo akimiliki tractor aina ya Ford iliyokuwa ikitumia kerosene na alidumu nayo kwa miaka mingi hadi late 80s, inasadikika kampuni ya Ford ilipata habari juu ya uwepo wa tractor hiyo kongwe kinyume na matarajio yao, hivyo kitendo cha kukitunza chombo hicho kwa miaka mingi na hata kuipa kampuni hiyo sifa kuwa inatengeneza vitu imara, kiliwafanya watengenezaji wa Ford kumpa zawadi.
Sijaona Kaburi la Bilioni moja hapo.
Poleni ndugu , jamaa na marafiki pamoja na WAKEZE.
heeheee huyu mzee alikua na heshima zake hapa nchini wasukuma wa Ubaruku mbarali Mbeya hawatamsahau alikua anawatetea Sana kwenye migogoro yao maana ndio walikua wateja zake wakubwa!Miongoni mwa mambo yaliyoshangaza ni
- TRA walikwenda kumkagua wakitaka kodi, akawakaribisha kwenye viti na kuwapa nyaraka zake wazipitie, muda mfupi wote wakapitiwa usingizi mzito wakaja kuzinduka jioni, hawakutaka kumsikia tena wakaondoka.
- Alifuga nyuki chini ya Nissan yake kama walinzi.
- Inasadikika alipata kutumia nguvu ya jadi kumfanya mbaya kibaka pale Mnazimmoja Dar baada ya kumwibia mizigo yake
mkuu usiangalie Kwa nje Hilo kaburi Lina chemba za maalum za kisasa utomatic nasikia!At a Mimi nimeshangaa labda ndani kaweka gold
At a Mimi nimeshangaa labda ndani kaweka gold